MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943
Japo si kwa 100% of course doubts kidogo zilikuwepo kutokana na uwepo wa giants kama Al Ahly na Mamelodi,
Lakini nilipotazama mchezo wa pyramids dhidi ya esperansa nilisema kwakweli isingekuwa fair kwa football kama hawa Pyramids hawatakuwa mabingwa wa CAFCL, Nilipata uhakika zaidi baada ya kuwaondoa Orlando Pirates kisha kufuzu fainali na Mamelodi dhaifu.
Kuanzia ari walizokuwa nazo wachezaji na njaa ya mafanikio, achilia mbali ubora wa wachezaji wao waliosajiliwa kama Ibrahim Adel, Fiston Mayele, Ahmed samy nk. Ni aina ya wachezaji wenye ubora mno! Ukijumlisha na ari waliyokuwa nayo, Kwakweli Kwa mara nyingine Mpira wa Miguu umetendewa haki.
Hongera Pyramids fc. Hii iwe somo kwenye vilabu vyetu.