Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kwani uvi koki.........??Niwawoni walongo wangu. lelu niwona ngati nivi kunyumba! musengwili sana, na chilawu mewawa!
Kwani uvi koki.........??
nigegiwi, nitama na mngwana wangu kudarisalama. ila mnikumbwishi kweli pabomani. ninogela ngati nijumbayi hinu naha
Watani msiniue ila kuna jamaa kule jukwaa la mahusiano kwenye mada ya wachumba wa makabila kaandika ,namnukuu(Hela inafika mwanamke hafiki....Ma-kapongo kweli hao)mwisho wa kunukuu.Sasa swali langu ni kweli alichosema huyu ndugu watani zangu.
sijui, wababa labda watusaidie kwa hili