Hiyo situation ilinikuta 2017 natoka mwanza gri nililopanda lilikua laishia moro so nikawa nafanyiwa mpango wa kufaulishwa.. nashuka naenda chukua begi nakuta begi hamna ila pembeni lipo lingine kama langu. Mbona nililia asee..Kwenye begi ndio kulikua na docs zote zinazonipeleka Dar. Nilibaki na simu yangu na Pc kwenye backpack.
Nilikaa pale ofisini sijui nifanyaje hadi gari likaniacha. Fortunately alikuja jamaa na boda akanipa begi langu na hela ya usafiri na chakula.. begi la yule jamaa likikua limeja taiti za kike
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.