Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo unahisi pana kosa hapo? Unafikiri hata hao wazungu kwanini wameweka umri fulani wa kuruhusu mahusiano ya kimwili? Unasema tuko kwenye Transition kuelekea wapi ambapo bado hatujafika? Hii hadithi si kitu chengine bali ni majuto ya huyo alieitowa kwa kuona jinsi jamii ilivyoondoka kule kuzuri ilikokuwa.
tunaelekea kwenye uwazi zaidi kati ya mzazi na binti.