Nilirudisha Milioni 3 niliyookota kwa mwenyewe, uamuzi uliobadilisha hatma ya maisha yangu

Naomba nisimulie Kwa kifup sana.

Juzi juzi nikiwa natoka kazini. Nikiwa kwenye daladala, siti namba mbili kushoto kwa dereva. So unajua Kuna Ile siti ya mbele kabisa hii ya nyuma yake.... Eehee ndio hiyo hiyo...


Kabla ya kukalia siti ile nilisimama muda mrefu nikafanikiwa kupata siti fupi ya kukunja, basi bana wakati nawapisha abiria waliokaa siti za mbeleni niliona adha ya kushikilia wkt unampisha mtu apite.

Basi jamaa kushoto kwangu akatoka nikakkalia siti hii namba mbili. Sasa siti hii ya kukunja akairithi dada mmoja sikuwa nimemuona nikawa namcheki, kila anaposhuka abiria akitokea Kwa mbele, nilimshushia siti yake, kea Saban nakumbuka adha ya siti hii ya mkunjo.

Niliendelea kufanya hivyo mara tatu hadi nne. Huyu dada alininote na alijali Sana wema wangu.

Sikumzingatia Sana na mwisho wa safar tukateremka abiria wote. Huyu dada akaniita pembeni. Akaniomba kama tunaweza kuongea. Nikamzingatia na kwa kweli alikiea mrembo, mweusi, rangi nzr. Nikajisogeza pembeni akajitambulisha, hakuzungumzia Yale matukio ya kwenye siti za daladala. Bali aliomba nauli.


Nikamuuliza kama sh ngapi, akataja nikatoa bahat njema nilikuwa na chenji nikampatia akashukuru. Tukaachana na mawasikiano tukabadilishana, aliniomba yeye.

Kwa Sasa ananipogoa simu sana. Naona uke wema wangu unaenda kubadili lengo .


Niseme TU mleta Uzi umenifundisha jambo kubwa sana na watz tuwe kama huyu jamaa
 
Pole sn kw yaliokkuta mkuu.

Funzo Moja ktk store yk hii cku zote wema ni akba isio oza
 
😭 😭 inagusa mnoo
 
Kwamba mleta uzi mwaka huo 2011 ulipewa noti 30 za dollar mia mia yaani dollar 3,000 ambazo ulipokwenda kuzibadilisha ukapata TZS 6,430,000/= yaani kwa exchange rate ya TZS 2,143.33 kwa dollar moja. Mbona kwa mwezi wa kumi mwaka huo 2011 exchange rate ilikuwa haijafika kiasi hicho mkuu?
 
Hongera Sana, nimejifunza kitu kikubwa Sana, nakumbuka kuna siku ndugu yangu aliniomba sh. 10,000 sasa mambo yakawa mengi nikachelewa kumtumia, siku nilipopata time ya kutuma nilikuwa kwenye mihangaiko hivyo nikakosea namba. Jina likatokea Ila ckujali maana ni mtu wa kubadilisha namba. Nimekaa naimesahau naona simu yake tena, ndugu vipi mbona hunitumii namwambia mbona nilikutumia akauliza jina duuuh kumjibu akasema sio mimi. Nikaona hebu nipime Imani za watu nikampigia simu niliyemtumia, kupokea kwake nikapata amani, nikamuuliza samahani cku Fulani nilikutumia pesa bahati mbaya, akasema pole mwanangu ni kweli niliipokea lakini unisamehe nimetumia sh. 2000 mjukuu wangu alikuwa ametoka jandoni tulikuwa hatuna pesa ya dawa, jamani mwili ulinisisimka nikasema eeeh Mungu nashukuru hii pesa imeenda kumsaidia mtu mwenye uhitaji. Nikamjibu hakuna shida itumie tu. Hivyo nilijifunza kitu kikubwa Sana kutoka kwa huyo mama. Uaminifu ni kitu kizuri.
 
Ni bahati Tu , Mimi sirudishi nazama kwenye kilimo kidogo

NB. Sijasoma gazeti
 
Ni bahati Tu , Mimi sirudishi nazama kwenye kilimo kidogo

NB. Sijasoma gazeti
Hutaamini mzee hutotoboa kwenye icho kilimo hela zingine ni za laana
 
Tusidharau wapiga debe ni members wenzetu humu. Nashukuru kwa hii chai inayotufundisha uungwana.
 
Imebidi nivute stuli. Uko njema. Pale kwenye ile ajali, ulipopanda juu ya pikipiki utue juu ya gari alafu uruke kwa nyuma. Alooo
 
Imebidi nivute stuli. Uko njema. Pale kwenye ile ajali, ulipopanda juu ya pikipiki utue juu ya gari alafu uruke kwa nyuma. Alooo
Mzer baba sio mimi ni force tu kama umeenda shule utaelewa mbona ni physics ya form2 hiyo.
 
Sijasoma Huu mkasa...ila una sehemu yako special mbinguni kwa ubinadamu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…