Nilirudisha Milioni 3 niliyookota kwa mwenyewe, uamuzi uliobadilisha hatma ya maisha yangu

Hata kama wasingekusaidia ndugu wa huyo uliyemtendeaga wema wa hela ,ungekuja tuu kusaidiwa na mtu back kabisa.

Wema Huwa unalipwa na tenda wema nenda zako usihesabu ,Mimi ni mmja wa watu niliosaidiwa na watu back kabisa so siwezi sahau.
 
Hata kama wasingekusaidia ndugu wa huyo uliyemtendeaga wema wa hela ,ungekuja tuu kusaidiwa na mtu back kabisa.

Wema Huwa unalipwa na tenda wema nenda zako usihesabu ,Mimi ni mmja wa watu niliosaidiwa na watu back kabisa
 
Ka
ma kweli umebahatika kutoka salama ktk mazingira ya stendi basi Mshukuru Sana Mungu.
 
M
Fundi wa uhakika ni kinyozi tu,pole Sana msamehe tu...hope utapata vingi.
 
japo stori ya zaman ila nimeenda tizama kalenda nkajua haikuwa jumamosi kama ulivyo tuambia

basi nimeachia hapo hapo porojo staki
 
Fantastic
 
Amina Amina ,wema ni akiba tusiache kutenda Mungu atafungua njia pasipo njia....hongera sana mkuu
 
Pole na hongera sana mkuu.

Ila sasa na hao wenye uwezo waliokusaidia, ndugu yao m3 ilitaka kumfanya kichaa? Mpaka akazimia? Kweli maisha ni fumbo.
hakika,Na angekuwa kichaa asee ila katika mapito ndipo Kuna njia ya kutoboa
 
Reactions: Tsh
Hon

Hongera sana kwa ungwana wako!! Story yako imenitoa machozi ndugu yangu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…