Nilisema BOT hawana uwezo wa kupambana na ma sharks wa mikopo ya mitandaoni. Riba bado ziko juu, usumbufu upo vilevile

Kuna kampuni nilikopa baada ya kukopa nilikuwa mteja wao mzuri sana ,nakulipa kwa wakati, sasa baada ya kugundua ili iyo kampuni ikaniongezea kiwango tena jamaa akaniambia utalipa baada ya siku 21 omba kwanza tutaictvet system ukishaomba nitumie na skin shoot .kwenye whaatsap kusudi tukuongzee muda ,sasa baada ya kufanikiwa kunipa hela jamaa akawa apokei tena simu system bado unasoma siku 7 , kila nikituma meseji ajibu.uzuri ni kwamba nilirecodi maongezi yote.lakin ajanisadia matusi niliyopat
 
This is pure utapeli, na wamesajili namba nyingi sana za simu ili kutukana watu sijui TCRA wanalichukuliaje hili. Kama si matapeli namba nyingi za nini? Hizi biashara zinaendeshwa kitapeli mno halafu bado mtu unalazimika kulipa sababu usipolipa unasomeka kama defaulter kwenye credit reference bureau kwa hiyo unakua huwezi tena kopesheka na banks. Na hapa ndio BOT naona wanawapa rungu matapeli kiasi cha wananchi kuamini BOT wanashiriki kwenye hii hujuma. Kivipi huduma ya kitapeli tena ambayo haijasajiliwa nchini iweze kuwa na access kwenye credit reference bureau? BOT kujeni mtoe ufafanuzi
 
Dawa ni moja tu kukataa kulipa hata iweje watajiondokea tu wenyewe. Only strong person can do this.
Tatizo hawa jamaa usipolipa taarifa zako zinafika kwenye credit reference bureau kama defaulter na unakua huwezi kopeshwa tena hata na bank. Hiki ndio kitu cha kushangaza kabisa hii bureau kufanya kazi na matapeli tena kwa baraka za BOT
 
Hao mbwa hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…