Nilisema BOT hawana uwezo wa kupambana na ma sharks wa mikopo ya mitandaoni. Riba bado ziko juu, usumbufu upo vilevile

Kampuni za mikopo zinatakiwa kusheshimu watu stara zao kwa sababu pamoja na shida za watanzania lakin bado hizi kampuni ndio zinafaidika na mkopo ba wala sio mkopaji kufaidika.

Vijana wengi wanakopa kiholela alafu wanabet so kudhalilishwa na kunyonywa kwa riba kubwa ni haki yao maana ni wapumbavu zaidi ya wakopeshaji.

Shida zipo ila sidhani kama kuna mtu Alishawai fariki kisa hakukopa mtandaoni.

Watanzania tuache kujiendekeza na mikopo ya kiholela mtandaoni

Hii mikopo ilikuwa hakuna zamani je watu walikuwa wanakufa hovyo.???

TAFADHALI BOT KIPENGELE CHA KUDHALILISHWA NDIO KIWE KIPAUMBELE KWA WAKOPAJI AMBAO NI ZERO BRAIN UNAKOPA CHA MTU UKIAMBIWA ULIPE DENI UNAKIMBIA MTANDAONI KULALAMIKA HII SIO SAWA.

NAONA HIKI KIPENGELE NDIO KITAPUNGUZA KASI YA WAKOPAJI MANA TAARIFA ZIKIWAFIKIA NDUGU NA JAMAA KAMA UNADAIWA ELFU 10 UTAKUWA UMEDHALILIKA NA KUACHA KABISA KUKOPA.

tafadhali bot msitoe kipengele hicho ndio dawa yao.!
Tatizo si kukopa. Tatizo ni njia zinazotumiwa na wakopeshaji ku-blackmail wateja walipe. Riba zao ni chanzo cha mikopo yao kutolipika na wanalijua hilo ndio maana hiyo njia ya kudhalilisha kwao ndio effective kuitumia. Sasa kwa nchi yenye utaratibu huwezi acha huu upuuzi ufanyike eti kisa tu hawalazimishwi kukopa. Tanzania sio shamba la bibi haya makampuni ya kichina na kihindi tena mengi hata hayajasajiliwa yanawapora watu wa chini halafu nawewe unashadadia as if hauko timamu. Sio mpaka uwe victim ndio ujue madhara yake
 
Hawa BOT ni wa ajabu kabisa na ni kama mbwa asiyeng'ata. Kila siku napokea mameseji kutoka kwa hivi vikampuni eti nimewadhamini watu wakati hata sina mazoea nao. Yaani kwa siku napokea SMS zaidi ya 100 halafu namba tofautitofauti hadi ishakua kero. Sijui mara zimacash, mara Swift funds,mara mycredit,mara moja mkopo,mara singularity yaani full vurugu kila mtu anatuma kwa wakati wake utasema wanaambiana. Wakope wengine sisi tupate usumbufu kweli? Hii si haki BOT chukueni hatua kali bana alaa! Walipane huko sisi wasituhusishe mfy*+u
 
Ni kama mwezi sasa au wiki kadhaa tangu benki kuu ya Tanzania itoe waraka wa kuwataka wakopeshaji wa mitandaoni wanaolalamikiwa kufuata taratibu ikiwa pamoja na kuacha lugha za matusi, kutokusumbua ndugu na jamaa wa mkopaji, kutokusambaza taarifa za mkopaji.

Mimi nilisema hakuna hata kimoja hawa watu watakifuata. Nilijibu waraka wao kwa njia ya maswali yafuatayo;
1. Je, ni BOT ndiyo iliwapa ruhusa kukopesha watu mikopo ya siku 4 mpaka 6 kwa riba ya 40%-50%.

2. Je, ni BOT ndiyo iliwapa ruhusa ya kukusanya namba za phone book ya mteja?

3. Je, ni BOT ndiyo iliwapa ruhusa ya kusumbua mteja na kumdhalilisha katika jamii huyo mkopaji akipitiliza hata siku moja?

Kama waliweza kufanya hayo yote na mengine ambayo ni kinyume cha kanuni na Sheria na hawajachukuliwa hatua je, watautii waraka wa BOT ambao ni toothless?

Umaskini ndio unawafanya Watanzania wawe shamba la bibi. Na viongozi wanapewa Senti na mabepari mchezo unaisha.

Mkopo kwenye fomu unaambiwa ni wiki 2 ukiclick tu kukubali wanaanza kwanza kukukata makato ya hovyo, pia siku ya 4 tu au ya 3 simu zinafuata usipolipa tu umekwisha. Utaundiwa group Whatsapp la kukutukana, kijiji chote kitajulishwa n.k

Soma Pia: BoT yakataza rasmi kampuni za mikopo mitandaoni kuchukua mawasiliano ya wateja ili kuwadhalilisha. Yatoa mwongozo mpya!

Serikali iwakomboe Wananchi. Wana hali ngumu sana. Jana nimepigiwa simu kuna mtu anadaiwa nikamuuliza Mimi kama ni mdhamini wake mbona sijajulishwa kabla hajakopeshwa akasema Mimi sio mdhamini. Sasa kwanini nipigiwe simu kama sio mdhamini jibu analonipa ni upumbavu mtupu.
Kukopa ni rahisi kulipa matanga naungana na maoni ya ndugu mrangi..

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Kudaiwa sio dhambi...ila hawa jamaa wa mikopo ya mtandaoni wanafanya kama ni dhambi kwa kutumia njia zisizosahihi kwa wadaiwa wao
 
Ni kama mwezi sasa au wiki kadhaa tangu benki kuu ya Tanzania itoe waraka wa kuwataka wakopeshaji wa mitandaoni wanaolalamikiwa kufuata taratibu ikiwa pamoja na kuacha lugha za matusi, kutokusumbua ndugu na jamaa wa mkopaji, kutokusambaza taarifa za mkopaji.

Mimi nilisema hakuna hata kimoja hawa watu watakifuata. Nilijibu waraka wao kwa njia ya maswali yafuatayo;
1. Je, ni BOT ndiyo iliwapa ruhusa kukopesha watu mikopo ya siku 4 mpaka 6 kwa riba ya 40%-50%.

2. Je, ni BOT ndiyo iliwapa ruhusa ya kukusanya namba za phone book ya mteja?

3. Je, ni BOT ndiyo iliwapa ruhusa ya kusumbua mteja na kumdhalilisha katika jamii huyo mkopaji akipitiliza hata siku moja?

Kama waliweza kufanya hayo yote na mengine ambayo ni kinyume cha kanuni na Sheria na hawajachukuliwa hatua je, watautii waraka wa BOT ambao ni toothless?

Umaskini ndio unawafanya Watanzania wawe shamba la bibi. Na viongozi wanapewa Senti na mabepari mchezo unaisha.

Mkopo kwenye fomu unaambiwa ni wiki 2 ukiclick tu kukubali wanaanza kwanza kukukata makato ya hovyo, pia siku ya 4 tu au ya 3 simu zinafuata usipolipa tu umekwisha. Utaundiwa group Whatsapp la kukutukana, kijiji chote kitajulishwa n.k

Soma Pia: BoT yakataza rasmi kampuni za mikopo mitandaoni kuchukua mawasiliano ya wateja ili kuwadhalilisha. Yatoa mwongozo mpya!

Serikali iwakomboe Wananchi. Wana hali ngumu sana. Jana nimepigiwa simu kuna mtu anadaiwa nikamuuliza Mimi kama ni mdhamini wake mbona sijajulishwa kabla hajakopeshwa akasema Mimi sio mdhamini. Sasa kwanini nipigiwe simu kama sio mdhamini jibu analonipa ni upumbavu mtupu.
Ni kama mwezi sasa au wiki kadhaa tangu benki kuu ya Tanzania itoe waraka wa kuwataka wakopeshaji wa mitandaoni wanaolalamikiwa kufuata taratibu ikiwa pamoja na kuacha lugha za matusi, kutokusumbua ndugu na jamaa wa mkopaji, kutokusambaza taarifa za mkopaji.

Mimi nilisema hakuna hata kimoja hawa watu watakifuata. Nilijibu waraka wao kwa njia ya maswali yafuatayo;
1. Je, ni BOT ndiyo iliwapa ruhusa kukopesha watu mikopo ya siku 4 mpaka 6 kwa riba ya 40%-50%.

2. Je, ni BOT ndiyo iliwapa ruhusa ya kukusanya namba za phone book ya mteja?

3. Je, ni BOT ndiyo iliwapa ruhusa ya kusumbua mteja na kumdhalilisha katika jamii huyo mkopaji akipitiliza hata siku moja?

Kama waliweza kufanya hayo yote na mengine ambayo ni kinyume cha kanuni na Sheria na hawajachukuliwa hatua je, watautii waraka wa BOT ambao ni toothless?

Umaskini ndio unawafanya Watanzania wawe shamba la bibi. Na viongozi wanapewa Senti na mabepari mchezo unaisha.

Mkopo kwenye fomu unaambiwa ni wiki 2 ukiclick tu kukubali wanaanza kwanza kukukata makato ya hovyo, pia siku ya 4 tu au ya 3 simu zinafuata usipolipa tu umekwisha. Utaundiwa group Whatsapp la kukutukana, kijiji chote kitajulishwa n.k

Soma Pia: BoT yakataza rasmi kampuni za mikopo mitandaoni kuchukua mawasiliano ya wateja ili kuwadhalilisha. Yatoa mwongozo mpya!

Serikali iwakomboe Wananchi. Wana hali ngumu sana. Jana nimepigiwa simu kuna mtu anadaiwa nikamuuliza Mimi kama ni mdhamini wake mbona sijajulishwa kabla hajakopeshwa akasema Mimi sio mdhamini. Sasa kwanini nipigiwe simu kama sio mdhamini jibu analonipa ni upumbavu mtupu.
Kesi ya ngedere unaipeleka kwa nyani?
 
Biashara hiyo ya mtandaoni inaongoza kuwa na majina ya viongozi wakisiasa. Niutapeli eti mtu anatoa mkopo online lakini hana ofisi
 
Lipa mkopo wako epuka usumbufu... SASA MIMI NAKUDAI WEWE UNANENEPA😂
Hahahaaa...kudaiwa sio dhambi mkuu,ila hawa wajinga wanataka kufanya kama kudaiwa ni dhambi wanadhalilisha watu kipuuzi. Mimi nilishawahi kuwa muhanga ndio maana siwataki. Yaani siku ya tano tu wakanitafuta eti ndio siku ya malipo halafu bahati mbaya siku hiyo nilikua field na sikua hewani. Narudi town jioni nakutana na texts kibao za watu wangu wa karibu waliotumiwa SMS kuwa wameambiwa mi ni tapeli na wanataka kufungua group la kuchangishiwa. Wakatuma na picha na ID zangu kwa watu wote WhatsApp.Pia nilikuta SMS zao za vitisho na matusi ya nguoni hasa hadi nikashangaa. Nikasema niwapigie simu kuwaambia mbona tarehe bado aisee nilikula matusi ya kufa mtu hadi sikulala siku hiyo nikawa nawaza nitafute ofisi zao nikaue mtu. Tangu siku hiyo nikafuta app yao,na kiukweli hawa hawastahili kuwepo kabisa ni matapeli wanaotumia vitisho kurubuni watu kufanya malipo nje ya makubaliano ya mkataba. Zima cash, swift funds sijui pesa x wote ni wakufungia hawana hata ofisi mtu kupeleka malalamiko. Siku hizi napokea SMS za watu wengine kudhalilishwa kuwa wamekopa halafu vikampuni kumbe ni vingi sana hata sijawahi kuviskia
 
Hawakukufanyia fair nakubaliana na wewe.
Mimi Jana Kuna deal nilifanya nilikua na faida Kama ya 200k Ila dogo Akali ruin kwa kupoteza mzigo kizembe. Easy ukiangalia kijana navyo mfavour nauli ,malipo yake, kumjali na amekua na hiyo trending usiku kucha nilikua nimejaa hasira Sana.

So mkuu najua nijinsi gani ulikasirika☺️
 
Shida mbaya sana tuendelee kuomba Mungu atuepushie shida mbal

Mkopo wa sku 4 ad 6 riba 40-50% duuuh kwel shida mbaya na mtu ukiwa na shida ata akili yakuwaza inakua haipo
 
Sema wamefanya nini. BOT ni hovyo kabisa.
Yaani BOT kutoa muongozo wanaona wameshamaliza. Halafu hawa matapeli wanasema bila aibu kabisa kuwa wanashirikiana na TCRA na BOT kufungia mdaiwa na mdhamini kisa wamekukuta kwenye contact list ya mdaiwa hata kama hamjuani nae. Kuna jamaa niliwahi save number yake kuna kitu alitakaga kununua nilipost online ila sikufanya nae biashara. Cha ajabu napata msg za kuwa anadaiwa na mimi ni mdhamini wake hahahaaa. Hawa machizi kweli
 
Dawa ni moja tu kukataa kulipa hata iweje watajiondokea tu wenyewe. Only strong person can do this.
 
Nchi haiwezi kuendeshwa kihuni, as long serikali imeshindwa kuwalinda wananchi dhidi ya matapeli Sasa ni kupambana nao kimafya zaidi. Tunakopa tunamtag PM, VP wakuu wa mikoa wote, MaOCD wote plus MaRPC then unawasave kwa phone book Yako unakopa then unalala mbele. Hii ndiyo dawa
 
Mie nimewaminya sehemu wananibembeleza Kila siku lipa hata nusu nimewakazia na Bado naendelea na utafiti nitazilamba mpaka app zao ili akili iwakae.
 
Hao BOT na polisi hawafanywi lolote kuzuia utapeli wa wazi Kuna hizi wenyewe wamezikataa lakini matangazo tele na utapeli mtupu.
Bakhressa
Mo Dewji
Kidoti.
Nandy
Tulia
Ambao wanataka utume pesa ya kianzio ndio wakupe mkopo.
 
Back
Top Bottom