PreGE2025 Nilisema CHADEMA ya Lissu itakufa rasmi kabla ya 2026 na CHADEMA ya mzee Mbowe itafufuka rasmi soon!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mimi nashindwa kuelewa kwanini baadhi ya watanzania wanimpiga sana vita mtu anayetetea haki. Utashangaa mtu anatetea haki na manufaa ya watanzania wote lakini anapigwa vita kwa nguvu zote.
 
Bora cdm ife kuliko kukubali kushiriki chaguzi za kihuni. Mabadiliko yametakiwa toka mfumo wa vyama vingi ulipoingia hapa nchini, unafananisha na mabadiliko aliyotangaza Lisu juzi? Kwa sasa agenda kubwa ya cdm ni NRNE. Hasi sasa cdm itakuwa imekufa kwa utashi wa ccm.
 


Uchaguzi wa nini wakati mitano tena .
Au hamtaki Samia ashinde kwa kishindo ?
Yaani CCM inapandisha watu hasira hasira sana .
Bahati nzuri wanaopigwa mabomu ni vijana wengi chini ya miaka 40 .
Kifo cha CCM na Makada wake kitakua kibaya sana .

Bahati nzuri Chadema ya Lisu sio kama ile CUF ya Lipumba iliyoamua kusema mapanga Shaa.
Matokeo ya kuwakandamiza CUF ilipokuwa inapigania haki sawa kwa wote ndiko kulikozaa CCM hii ya sasa na kuzaa Kikundi kilichoitwa cha kigaidi cha mashehe kule Zanzibar na kule kwenye jimbo la Mchengerwa kuibuka mauaji ya kutisha .
Nani alikua nyuma ya ule uhalifu uliotokana na CCM kuvuruga uchaguzi ? Wakati huo ni wazi Samia alikua anaichukia sana Dhulma ya serikali na vyombo vyake vya dola ikiwemo Polisi na majitu yenye vichogo kutoka bara kwa kubambikia mashehe kesi za ugaidi .

Samia akaingia madarakani kwa akiwa na malengo ya kufanya marekebisho ndani ya jeshi la polisi . Ilifikia mahali akawa anaonyesha chuki mpaka kwa Saimon Siro bila kutambua mchango wake mkubwa alioufanya wa kupunguza uhalifu uliokua umekithiri. Ni wazi kuwa Samia anafahamu wazi kuwa Jeshi la polisi na mifumo ya haki Haifai na haitendi haki lakini kutokana na ukweli kuwa hawa watawala wanashindana kujilimbikizia mali basi ameamua kuungana na mafisadi na kuacha jeshi la polisi liendelee kuwauaza watu .
Uchaguzi ukiisha Hao hao CCM ndio wanaokua wa kwenda kulichafua Jeshi la polisi kuwabambikia watu kesi .
Hata hivyo bado Mungu atasimama na wale wote wanaotafuta haki kwa wananchi wote .
Mungu atakupa siku moja mbele ya hawa wanao,wabudu Samia na Watu wake labda kama yeye ndiye Mungu muumba wa nchi .
 
Hata tungeshiriki wangekata wagombea wote. Nyie Endeleeni tu na uchaguzi wenu wa maigizo, siku watanzania wakichoka wataamua hatma yao bila kusubiri chaguzi
 
II.Ni wazi kuwa Chama hiki kitakufa mikononi mwa Ndugu Tundu Antipas Lissu kwa kukosa fedha ya kutekelezea majukumu yake ya Chama na kwa maana hiyo baadhi ya Wanachama wa Chadema wataibuka kumpinga wazi wazi Mwenyekiti pamoja na Timu yake yote!
Bora chama kife lakini tuokoe uhai wa ndugu zetu wanaokufa kila siku kwasababu ya uchaguzi.
 
They never calculated the risk to invest into poor Brain,we are poor mathematical and method as well β€οΈβ€πŸ©Ή
Afadhali pia hatutasikia mauji ya watia nia wao
Pia wameacha ubinafsi wa kujali pesa za ruzuku kuliko uhai wa wanachama wao safi kabsa
 
Acha ife kuliko kushiriki upuuzi.
 
Ulivyo na akili ndogo unasema No reforms no election ni ya TAL...Kibaka ww.
 
Mimi nashindwa kuelewa kwanini baadhi ya watanzania wanimpiga sana vita mtu anayetetea haki. Utashangaa mtu anatetea haki na manufaa ya watanzania wote lakini anapigwa vita kwa nguvu zote.
Mange alituachia laana,pia usisahau kuwa washamba wa vijijini ndo timekusanyika mjini na wajanja ni kama akina mange, mdee na wengine wako zao New York,nchi hii imejaa washamba kuanzia a house mpaka kitaa
Yaani shida zote hizi za ajira, serikali mbovu bado tuu tunawageuzia kibao ukrain (Chadomo), hell no
 
Toka usingizi wewe katoto
 
Umeandika mambo meengi ila wewe unalenga Ruzuku tu.Kwanza miaka yote ruzuku inatumika makao makuu tu mikoa yote inajiendesha yenyewe kwa michango ya wanachama.Inaonyesha kabisa unahakika kuwa CDM isingefurukata kwenye uchaguzi lakini angalai ingepata baadhi ya kura ili kujipatia kajiruzuku huo ni upuuzi kabisa.yaani ajiingize kwenye sekeseke zito lakuhatarisha wazi wazi watu wake kwa sababu apate vijiruzuku ambavyo pia havijulikani,kama navyo vitapatikana nakueleza CDM itakwenda kuimarika zaidi na tundu lisu watamwachia siku nyingi kwasababu hawataweza kumuweka ndani zaidi ya miezi miwili
 
Serikali ya awamu ya Sita ikileta Reforms nzuri kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani 2025,ni RASMI kuwa Chadema hawawezi kushiriki Uchaguzi Mkuu wowote wa INEC mpaka mwaka 2030

Wakileta Reforms nzuri Nani atakuwa kashinda Kati ya CHADEMA NA CCM?

Wakileta hizo reform ndizo zitakazosaidia kuwa na uchaguzi huru na wa Haki.

Kwenye uchaguzi wanakatwa zaidi ya wagombea elfu kumi na sita eti hawaji kujaza form hii inaingia akilini? Halafu wagombea wa CCM wote wapo vizuri hawakosei form kujaza, wala wao wakirudisha form mkurugenzi hafungi ofisi ili asipokee form ila wakirudisha wa CHADEMA ofisi inafungwa.

Muda mwingine inatia hasira Sana ila hakuna namna CCM wameshika mpini , sasa kuna haja ya kwenda kwenye uchaguzi kama huo?

Bora CHADEMA hawashiriki uchaguzi Safi kabisa naunga mkono hoja.
 
Mimi nashindwa kuelewa kwanini baadhi ya watanzania wanimpiga sana vita mtu anayetetea haki. Utashangaa mtu anatetea haki na manufaa ya watanzania wote lakini anapigwa vita kwa nguvu zote.
Ni kiashiria tosha kwamba wana udumavu wa akili.Lishe mbovu toka utoto wao na malezi ya ma-housegirls.
 
TAKATAKA
 
NILIJUA Tu
 
Alisikika kiazi mmoja pande lumumba
 
utakufa wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…