PreGE2025 Nilisema CHADEMA ya Lissu itakufa rasmi kabla ya 2026 na CHADEMA ya mzee Mbowe itafufuka rasmi soon!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
No Reforms No Election ya Ndugu Tundu Antipas Lissu imejiziika RASMI leo kwani hata Serikali ya awamu ya Sita ikileta Reforms nzuri kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani 2025,ni RASMI kuwa Chadema hawawezi kushiriki Uchaguzi Mkuu wowote wa INEC mpaka mwaka 2030
Utakufa wewe na mumeo na ukiiacha Chadema ikizidi kuungwa mkono na wenye akili, Chadema ipo moja tu hakuna Chadema ya Lissu wala Chadema ya Mbowe.
 
farijianeni kwameno hayo hata kwenye misiba wanaambiwa, kama team mbowe,bado hamuamini tu kwamba Lisu na Heche ni viongozi wa chadema mnateseka sana
 
CHADEMA ilikuwepo, ipo na itakuwepo kwa muda mrefu sana. Si chama cha mtu mmoja, kina wafuasi ambao kuishi bila ruzuku, hakujawahi kuwa tatizo kwao. Wana mbunge mmoja, ni ruzuku gani unayotegemea hapo?
 
Hakuna kinachokufa chenyewe duniani. Zipo sababu na unazijua. Hizo sababu zikiondoka ndani ya miezi mitatu tu,, utaona maajabu ya mabadliko ya Kisiasa Tanzania. Amka.
 
22 May 2026
Lagos, Nigeria

Michezo ya michafu ya INEC Tanzania ya ibuka Nigeria


View: https://m.youtube.com/watch?v=GuFbvjPWYQI

Sheria Mpya ya Uchaguzi Imeundwa Kuzuia Upinzani na Kuunda Nafasi Zaidi kwa Wahalifu β€” Bugaje


Kumbuka waliondoa sheria katika kifungu cha sheria kinachoharamisha kughushi vyeti.

Wameendelea kufanya mambo mengine kadhaa ambayo hayawezi kufikirika tangu utawala huu uingie madarakani.

Na wamewatumia mamluki katika Bunge la Kitaifa kupitisha sheria hizi. Dkt. Usman Bugaje, Mshauri Maalum wa Zamani wa Masuala ya Siasa katika Urais wa Obasanjo

22 May 2026
Lagos , Nigeria

The New Electoral Law Is Designed To Block Opposition And Create More Space For Criminals β€” Bugaje


Remember they decriminalised the section of the law that criminalises forgery of certificates. They have gone ahead to do a number of other things that are inconceivable since this regime came into power. And they’ve used the mercenaries at the National Assembly to pass these laws.Dr. Usman Bugaje, Former Special Adviser on Political Affairs in the Obasanjo Presidency
Source : Arise News
 
Mpaka leo ni nani mjinga na mwerevu...?

Bila shaka Irene17 ni mjinga and shallow minded wa kiwango cha lami😭

CHADEMA imekufa au wewe Irene17 ndiye uliyekufa..?
 
Tuambie vipi chadema imekufa au haijafika 2026? Nyie makahaba mnaofugwa kwenye makorido ya Lumumba siku nchi ikikombolewa mtakuwa na machaguo mawili tu kukimbia nchi au kujiua.
 
Wewe changudoa Irene bado unaamini usenge ulioandika mwaka jana?
 
Nini kimekuwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…