Nilisema CHADEMA ya Lissu itakufa rasmi kabla ya 2026 na CHADEMA ya mzee Mbowe itafufuka rasmi soon

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2019
Posts
319
Reaction score
755
George Michael Uledi!

No Reforms No Election ya Ndugu Tundu Antipas Lissu imejiziika RASMI leo kwani hata Serikali ya awamu ya Sita ikileta Reforms nzuri kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani 2025,ni RASMI kuwa Chadema hawawezi kushiriki Uchaguzi Mkuu wowote wa INEC mpaka mwaka 2030

Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi(INEC)leo imesainiana fomu ya Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 na Vyama vya Siasa 18 huku Chadema "ikikacha" kusaini fomu hizo!Kwa mujibu wa Sheria za UCHAGUZI za Nchi Tanzania,ili uweze kushiriki Uchaguzi Mkuu ni lazima uwe umeweza "kucomply" na takwa hilo muhimu!

NINI MAANA YA UAMUZI HUU WA "KITOTO"WA CHADEMA?

I.Mwenyekiti wa Chama hicho Ndugu Tundu Lissu ataendesha Chama chake kwa miaka mitano(2025-2030)bila ruzuku yoyote ya Serikali,kwa maana ya kulipa mishahara ya Wafanyakazi,gharama za Ofisa na shughuli nyingine za KISIASA!Tone Tone ya Chadema mpaka sasa imekusanya milioni 100 tu kwa mujibu wa taarifa ya Jana ya Naibu Katibu Mkuu wa Chadema!

II.Ni wazi kuwa Chama hiki kitakufa mikononi mwa Ndugu Tundu Antipas Lissu kwa kukosa fedha ya kutekelezea majukumu yake ya Chama na kwa maana hiyo baadhi ya Wanachama wa Chadema wataibuka kumpinga wazi wazi Mwenyekiti pamoja na Timu yake yote!

III.Ni wazi kuwa kama hakutotokea Mapinduzi ndani ya Chadema kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Chama hicho mwaka 2029 au 2030 basi hata Uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho,utamrudisha tena Mzee Freeman Mbowe kwa kura nyingi sana mwaka 2030.

Strategy ya ndugu Tundu Antipas Lissu imefeli mapema sana hata kabla ya miezi minne tangu achaguliwe JANUARY 2025 kufika!

USHINDI WA TUNDU LISSU ULIKWENDA KWA MTU ASIYE SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI!

Kama Chadema ya kina Ndugu Tundu Antipas Lissu ilishindwa kufanya Siasa za "harakati -vurugu na fujo" wakati wa hayati Magufuli na kufanya baadhi ya watu wakimbie Nchi(Canada Ubeligiji,Uarabuni na Kenya) na baadae kuomba msamaha kupitia Mzee Jakaya Kikwete(Lema)na hakuna ambacho walifanikiwa imekuwaje waone kuna fursa ya kufanya siasa za harakati wakati huu wa Samia(Maridhiano)?

Kama Chadema wangeenda na Mzee Freeman Mbowe kama Mwenyekiti wao uwezekano wa Mzee Freeman Ekael Mbowe Mwenyewe,Tundu Lissu John Heche,Godbless Le a na Timu yao kubwa ingerudi Bungeni mwaka 2025!

Yaani kelele za No Reforms No Election,kelele za Petition zingenoga sana zingewashwa Bungeni toka 2025 to 2030 na ni wazi Reforms zingepatikana kwa ajili ya Uchaguzi wa mwaka 2030!

Muulize Tundu Lissu kwamba wakati anachukua Uwenyekiti wa Chama hicho mwezi January 2025 alitangaza kufanya "reforms" hizo hizo ndani ya Chama chake!Muulize mpaka Leo amefanya REFORMS ngapi ndani ya miezi minne ndani ya CHADEMA?,

Sasa mbona yeye anataka Serikali ifanye REFORMS ndani ya miezi kadhaa kabla ya Uchaguzi Mkuu wakati yeye mpaka sasa hana hata REFORM MOJA ndani ya Chama chake?🤷🏻‍♂️🤷🏻‍♂️🤷🏻‍♂️

Dah Tundu kaiua Chadema "asubuhi" sana!Baya zaidi "kanunua" kesi mbaya bila hata sababu ya msingi!

Narudia tena,Chadema ya Sasa inahitaji Vijana wenye "akili kubwa" nyuma ya Ndugu Tundu Lissu na Ndugu John Heche!

" Hii inaitwa Ng'ombe Ifwile,mbelile mbelileee".🤣🤣
 
Tatizo sio kufa kwa CHADEMA ila ni kwanini wanaumia wanaCCM zaidi kuliko hata wanaCHADEMA?!
Ni sawa na unaamka asubuhi unapata habari kuwa jirani yako, Baba fulani amefariki, lakini siku nzima Mke wako anatoka machozi, hana furaha na muda wote anaonekana na huzuni.
 
Mbna mnahangaika sana? Imekufa ndio why bother? Mama kashinda 100% ni suala la kusherehekea tu na kimpumu, ya wafu waachie chadema wazikane wenyewe, hayakuhusu tena! Ulisema na imetimia haya nabii umeshinda si inatosha?!
 
George Michael Uledi!

No Reforms No Election ya Ndugu Tundu Antipas Lissu imejiziika RASMI leo kwani hata Serikali ya awamu ya Sita ikileta Reforms nzuri kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani 2025,ni RASMI kuwa Chadema hawawezi kushiriki Uchaguzi Mkuu wowote wa INEC mpaka mwaka 2030

Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi(INEC)leo imesainiana fomu ya Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 na Vyama vya Siasa 18 huku Chadema "ikikacha" kusaini fomu hizo!Kwa mujibu wa Sheria za UCHAGUZI za Nchi Tanzania,ili uweze kushiriki Uchaguzi Mkuu ni lazima uwe umeweza "kucomply" na takwa hilo muhimu!

NINI MAANA YA UAMUZI HUU WA "KITOTO"WA CHADEMA?

I.Mwenyekiti wa Chama hicho Ndugu Tundu Lissu ataendesha Chama chake kwa miaka mitano(2025-2030)bila ruzuku yoyote ya Serikali,kwa maana ya kulipa mishahara ya Wafanyakazi,gharama za Ofisa na shughuli nyingine za KISIASA!Tone Tone ya Chadema mpaka sasa imekusanya milioni 100 tu kwa mujibu wa taarifa ya Jana ya Naibu Katibu Mkuu wa Chadema!

II.Ni wazi kuwa Chama hiki kitakufa mikononi mwa Ndugu Tundu Antipas Lissu kwa kukosa fedha ya kutekelezea majukumu yake ya Chama na kwa maana hiyo baadhi ya Wanachama wa Chadema wataibuka kumpinga wazi wazi Mwenyekiti pamoja na Timu yake yote!

III.Ni wazi kuwa kama hakutotokea Mapinduzi ndani ya Chadema kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Chama hicho mwaka 2029 au 2030 basi hata Uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho,utamrudisha tena Mzee Freeman Mbowe kwa kura nyingi sana mwaka 2030.

Strategy ya ndugu Tundu Antipas Lissu imefeli mapema sana hata kabla ya miezi minne tangu achaguliwe JANUARY 2025 kufika!

USHINDI WA TUNDU LISSU ULIKWENDA KWA MTU ASIYE SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI!

Kama Chadema ya kina Ndugu Tundu Antipas Lissu ilishindwa kufanya Siasa za "harakati -vurugu na fujo" wakati wa hayati Magufuli na kufanya baadhi ya watu wakimbie Nchi(Canada Ubeligiji,Uarabuni na Kenya) na baadae kuomba msamaha kupitia Mzee Jakaya Kikwete(Lema)na hakuna ambacho walifanikiwa imekuwaje waone kuna fursa ya kufanya siasa za harakati wakati huu wa Samia(Maridhiano)?

Kama Chadema wangeenda na Mzee Freeman Mbowe kama Mwenyekiti wao uwezekano wa Mzee Freeman Ekael Mbowe Mwenyewe,Tundu Lissu John Heche,Godbless Le a na Timu yao kubwa ingerudi Bungeni mwaka 2025!

Yaani kelele za No Reforms No Election,kelele za Petition zingenoga sana zingewashwa Bungeni toka 2025 to 2030 na ni wazi Reforms zingepatikana kwa ajili ya Uchaguzi wa mwaka 2030!

Muulize Tundu Lissu kwamba wakati anachukua Uwenyekiti wa Chama hicho mwezi January 2025 alitangaza kufanya "reforms" hizo hizo ndani ya Chama chake!Muulize mpaka Leo amefanya REFORMS ngapi ndani ya miezi minne ndani ya CHADEMA?,

Sasa mbona yeye anataka Serikali ifanye REFORMS ndani ya miezi kadhaa kabla ya Uchaguzi Mkuu wakati yeye mpaka sasa hana hata REFORM MOJA ndani ya Chama chake?🤷🏻‍♂️🤷🏻‍♂️🤷🏻‍♂️

Dah Tundu kaiua Chadema "asubuhi" sana!Baya zaidi "kanunua" kesi mbaya bila hata sababu ya msingi!

Narudia tena,Chadema ya Sasa inahitaji Vijana wenye "akili kubwa" nyuma ya Ndugu Tundu Lissu na Ndugu John Heche!

" Hii inaitwa Ng'ombe Ifwile,mbelile mbelileee".🤣🤣
Utaanza kwanza kufa wewe na ukoo wako wote! Halafu CHADEMA utaiacha. Maana CHADEMA inawakilisha Tanganyika huru!
 
Aliyesababisha yote haya ni Lema.
Lema alimtabiria mbowe kushindwa uchaguzi na wao kutawala.
Sasa walifikiri uongozi ni kunyoosha mdomo bila kutumia akili. Mbowe ni hazina kubwa sana ktk tasnia ya kisiasa amejaa busara na hekima.
Nilijua tu cdm inajifia.
Mi nilikuwq mwanachama wa hiki chama lakini vurugu za uchaguzi wq january zilinikatisha tamaa.
Mnawezaje kutukana waasisi na viongozi wenu halafu mbaki salama. Mmehama kwenye malengo ya kuanzishwa cdm na kuwa ni platfom ya matusi na vitisho kwa viongozi wa nchi.
Unatishaje serikali kuwa utaasi halafu wakuangalie tu? LEMA TUBU KWA KUUA CHADEMA
 
TZ ilishakuwa Korea kaskazini hakuna namna.
 
Mkaribishe ukanywe naye chai tu, enzi zake zishapita ni zama zingine kabisa!
 
Hata mzee wa pori la BURIGI alifanya kila hila kuiua CHADEMA matokeo yake mnayajua, hata shetani hana uwezo huo
 
Lisu na henche hawafai kuwa viongozi.
Ona sasa chama kinakufa, maana John Mrema, Mnyika, Kigaiya, Mwalimu na Catherine hawa ni viongozi
 
Aliyesababisha yote haya ni Lema.
Lema alimtabiria mbowe kushindwa uchaguzi na wao kutawala.
Sasa walifikiri uongozi ni kunyoosha mdomo bila kutumia akili. Mbowe ni hazina kubwa sana ktk tasnia ya kisiasa amejaa busara na hekima.
Nilijua tu cdm inajifia.
Mi nilikuwq mwanachama wa hiki chama lakini vurugu za uchaguzi wq january zilinikatisha tamaa.
Mnawezaje kutukana waasisi na viongozi wenu halafu mbaki salama. Mmehama kwenye malengo ya kuanzishwa cdm na kuwa ni platfom ya matusi na vitisho kwa viongozi wa nchi.
Unatishaje serikali kuwa utaasi halafu wakuangalie tu? LEMA TUBU KWA KUUA CHADEMA
Huna lolote kauze laptop 💻 tu
 
Back
Top Bottom