Nilisema CHADEMA ya Lissu itakufa rasmi kabla ya 2026 na CHADEMA ya mzee Mbowe itafufuka rasmi soon

Chadomo ya Maria Sarungi na kibaraka wa Ulaya πŸ˜‚πŸ˜‚
 

πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ sasa si CCM inatakiwa mfurahie ili mubaki wenyewe na CHAUMMA? Mbona mnateseka sana na kufa kwa CDM?
 
Hahahahaa daaah jiwe gizaniii
 
Lema anamlilia Mbowe kweli mjinga mpe muda....
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ sasa si CCM inatakiwa mfurahie ili mubaki wenyewe na CHAUMMA? Mbona mnateseka sana na kufa kwa CDM?
Hatuteseki, kiukweli tuna shangiliaπŸ˜‚πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…