Msameheni wife wenu, mwaka jana alichepuka tu, mfanyieni kama miaka ile mlipomsaidia asishuke daraja.ah ah ah!we jamaa umeniwahi kidogo tu kufungua huu uzi
ipo siku kila timu itaishabikia Yanga na siku yenyewe ni leo,
simba leo ni Yanga na ata Azam pia leo ni Yanga
Msameheni wife wenu, mwaka jana alichepuka tu, mfanyieni kama miaka ile mlipomsaidia asishuke daraja.
Hii ndio siku iliyotabiriwa ambapo mashabiki wote wa simba leo wanaishangilia Yanga na wanakili kuwa hapa bongo hakuna timu ya kumfunga Yanga katika mazingira ya kawaida.
Hongereni mashabiki wa simba sasa mmeonyesha kujitambua.
haijitokea labda nifee et nishangalie ndala never..!! Azam wafungen tu hao Watali Wa tunisia
Mi ni simba damu damu ila kwa leo naipenda sana yanga na naiombea ishinde ili na sisi tukomae mechi ya mwisho tuweze kuambulia japo nafasi ya pili...chonde chonde yanga tunaomba mtuhurumie japo mara moja tu, mabaya yote tuliyowatendea tumejifunza na tunawaahidi hayatajirudia tena.. mimi na wanachama wenzangu wa simba leo tutavaa jezi ya yanga na kwenda kuishangilia yanga ili washinde. Msituangushe tafadhali...
Hahahaha
Ngosha vp tunahitaji huruma yenu maana huku kwetu panateketea.... tumemis sana kukwea pipa na kama mnavyojua safari ya mbeya na kwingineko gari inatiwa tu dizel tunapanda hakuna cha kukwea pipa ila kama mtatusaidia na sisi mwakani tutakuwa wa kimataifa kama nyie na tutakuwa tunawasapoti mkienda kucheza zimbabwe tutajitolea kupeleka wahamasishaji wetu wakawashangilie...