Nilisema ipo siku watu wote duniani tutaipenda Yanga, Ona sasa!

Ududu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
1,020
Reaction score
556
Hii ndio siku iliyotabiriwa ambapo mashabiki wote wa simba leo wanaishangilia Yanga na wanakili kuwa hapa bongo hakuna timu ya kumfunga Yanga katika mazingira ya kawaida.

Hongereni mashabiki wa simba sasa mmeonyesha kujitambua.
 
ah ah ah!we jamaa umeniwahi kidogo tu kufungua huu uzi
ipo siku kila timu itaishabikia Yanga na siku yenyewe ni leo,
simba leo ni Yanga na ata Azam pia leo ni Yanga
 
Msameheni wife wenu, mwaka jana alichepuka tu, mfanyieni kama miaka ile mlipomsaidia asishuke daraja.
 
Uwezo wa mikia kushika nafasi ya pili hautegemei Azam kupoteza mechi zake tu bali wao pia kushinda mechi zilizobaki. Yanga inaweza kuifunga Azam na bado ikachukua nafasi ya pili kama mikia watapoteza mechi zao.
 
Siku zote dua la Simba ni kwamba Yanga ifungwe. Huenda Mungu akasikie dua yao leo. Likitokea, bila shaka watakuwa na furaha sana.

Pluijm leo panga kikosi "C" kabisa. Wape nafasi vijana wa kikosi wa pili.
 
haijitokea labda nifee et nishangalie ndala never..!! Azam wafungen tu hao Watali Wa tunisia
 
Hii ndio siku iliyotabiriwa ambapo mashabiki wote wa simba leo wanaishangilia Yanga na wanakili kuwa hapa bongo hakuna timu ya kumfunga Yanga katika mazingira ya kawaida.

Hongereni mashabiki wa simba sasa mmeonyesha kujitambua.

Bora Nishangilie Mropokaji Wenu Jenny AKIKANDAMIZWA Na KUCHANWA Marinda Yake Kuliko Mimi Kushangilia Yanga. Hata VIMA Yangu Yana Thamani Kuliko Yanga!
 
haijitokea labda nifee et nishangalie ndala never..!! Azam wafungen tu hao Watali Wa tunisia

Furaha yangu kuu ni kuona Ndala anaadhibiwa ipasavyo kila anapoingia uwanjani, au kama tunavyowaadhibu kila msimu katika usajili.. Sasa leo naanzaje kushangilia Ndala kisa kombe la Shirikisho?!! Nipo nawe Mkuu katika kuwatakia kila la heri vijana wa Chamazi.
 
Bora Nishangilie Mropokaji Wenu Jenny AKIKANDAMIZWA Na KUCHANWA Marinda Yake Kuliko Mimi Kushangilia Yanga. Hata VIMA Yangu Yana Thamani Kuliko Yanga!
Msemaji wenu Manara analazimisha Yanga washinde leo wakati wao hawaki.
 
Mi ni simba damu damu ila kwa leo naipenda sana yanga na naiombea ishinde ili na sisi tukomae mechi ya mwisho tuweze kuambulia japo nafasi ya pili...chonde chonde yanga tunaomba mtuhurumie japo mara moja tu, mabaya yote tuliyowatendea tumejifunza na tunawaahidi hayatajirudia tena.. mimi na wanachama wenzangu wa simba leo tutavaa jezi ya yanga na kwenda kuishangilia yanga ili washinde. Msituangushe tafadhali...
 
Yaani leo rahaaaaaa
tukishinda tunashangilia....
tukifungwa tunashangilia....
hatuna cha kupoteza leo...:msela:
 
Mi ni simba damu damu ila kwa leo naipenda sana yanga na naiombea ishinde ili na sisi tukomae mechi ya mwisho tuweze kuambulia japo nafasi ya pili...chonde chonde yanga tunaomba mtuhurumie japo mara moja tu, mabaya yote tuliyowatendea tumejifunza na tunawaahidi hayatajirudia tena.. mimi na wanachama wenzangu wa simba leo tutavaa jezi ya yanga na kwenda kuishangilia yanga ili washinde. Msituangushe tafadhali...

Hahahaha
 
mie leo nimejitolea kushangilia magoli yoote
Timu yangu yanga ikishinda nashangilia...
Azam ikishinda nashangilia ....
Simba lieni tuuu ama mtumie ile falsafa ya kwamba if you can't beat them join them. bhaaaaasi
 
Ngosha vp tunahitaji huruma yenu maana huku kwetu panateketea.... tumemis sana kukwea pipa na kama mnavyojua safari ya mbeya na kwingineko gari inatiwa tu dizel tunapanda hakuna cha kukwea pipa ila kama mtatusaidia na sisi mwakani tutakuwa wa kimataifa kama nyie na tutakuwa tunawasapoti mkienda kucheza zimbabwe tutajitolea kupeleka wahamasishaji wetu wakawashangilie...
 
Tatizo lenu muliwashangilia sana wa Tunisia, tunataka tuwashikishe adabu kidogo
 
Back
Top Bottom