Nilisema na narudia kusema uwanja wa Chamazi sio rafiki kwenu, mtaendelea kuacha pointi hadi mtakaposikiliza ushauri wangu

Nilisema na narudia kusema uwanja wa Chamazi sio rafiki kwenu, mtaendelea kuacha pointi hadi mtakaposikiliza ushauri wangu

20231223_214420.jpg

Kwa msaada WA satellite 🤣🤣🤣😂😂
 
Mbona hapa walishinda Chamazi. Acha blah blha Bwana mkubwa.
 
Kwani mapato zinapeleka wapi, timu Zina miaka mingi lakini hazina uwanja, Simba na Yanga ni makubwa jinga
 
Niliwahi kuwashauri siku ile mnacheza na Powe Dynamo kuwa ule uwanja sio mkaniona chizi, sina maana, mropokaji, siasa za mitandaoni na kila kashfa mkatoa, niliwaambia uwanja wa chamazi ni wa Azam lakini Yanga ni kama sehemu yao ya kuokotea point, kwa wanaojua siasa na fitna za mpira, unawezaje kwenda kutumia uwanja ambao wenzako unaoshindana nao wanautumia huo uwanja, azam ss hv anafanya vzr na yanga ndio bingwa wa nchi hii hadi Eng Hersi aondoke pale, mnawezaje nyie kushinda pale Chamazi, azam amekaa juu ya Simba na Leo mnaenda kucheza kwenye uwanja wao eti mnatafuta point, hamuoni mambo yalivyokuwa magumu leo, wamemtumia yule Waziri Junior tangu akiwa Mbao FC amekuwa mshika nyota dhidi ya Simba, kwanini mnatuumiza roho zetu lakini.
Na baado haaadi msemeee🤣
 
Back
Top Bottom