Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
We Mgunda ulimtoa wapi? Anyway ni wako nani kakunyang'anya? Kwani haji kwako au huendi kwake siku hizi? Kama unampenda sana si uolewe naye kabisa?msilete mahaba kwenye taaluma. Suala la mapenzi wekeni kando nyie mikia.Muda utaongea. Tuvute subira
Unamtoaje Chama kisa anaingia Sakho? Kweli?
Tuachieni Mgunda wetu