Nilisema narudia kusema huyu Kocha wa Simba hafiki pasaka

Muda utaongea. Tuvute subira
Unamtoaje Chama kisa anaingia Sakho? Kweli?

Tuachieni Mgunda wetu
We Mgunda ulimtoa wapi? Anyway ni wako nani kakunyang'anya? Kwani haji kwako au huendi kwake siku hizi? Kama unampenda sana si uolewe naye kabisa?msilete mahaba kwenye taaluma. Suala la mapenzi wekeni kando nyie mikia.
 
Baada ya kutoka kifungoni
 
We Mgunda ulimtoa wapi? Anyway ni wako nani kakunyang'anya? Kwani haji kwako au huendi kwake siku hizi? Kama unampenda sana si uolewe naye kabisa?msilete mahaba kwenye taaluma. Suala la mapenzi wekeni kando nyie mikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…