GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sijui mnataka GENTAMYCINE niwe nawashauri vipi ili muwe mnanielewa na mfuate ninachowaambia. Yaani kila nikiwashtua mapema Wakulima wa Nyika ili msiumie huwa mnanipuuza.
Na Wakulima wa Nyika tuna bahati sana leo kwani Nyuki Wakali waliotukamia kisawasawa, ila kwenye Vyura na Ice Cream huwa hawapakamii kiaai kwamba tuliweza Kulima Heka zetu Mbili na hata Wao pia Kuchonga Mizinga yao Miwili ya Asali.
Nawashauri Wakulima wa Nyika kuanzia sasa watafute Mashamba ya ama Morogoro au Arusha au Unguja Zanzibar ambapo naamini huko Watalima Kimafanikio zaidi.