Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Mwaka 2020 nilishauri serikali juu ya energy security ila haikunielewa.
Energy security ni muhimu sana kwa taifa lolote duniani maana huwezi jua ni wakati gani hali ya usalama wa dunia inaweza kuchafuka.
Na ikichafuka tusidhani kwamba viongozi ndio tutapona, hapana wote tutaathirika.
Kuna wakati fulani mafuta hayatakuwepo hata tone. Uchumi utasimama kabisa. Speed itakua 0 m/s.
Ndio maana nchi zinawekeza kutafuta mafuta yao wenyewe ili ziweze kuwa na energy security.
Ndio maana nchi zinazojielewa duniani zinahifadhi mafuta ya kutumia kipindi cha shida. Zimejenga storage kubwa zenye uwezo wa kuhifadhi mafuta ya kutumia miaka na miaka.
Sisi Tanzania tunaichezea sekta ya nishati, timeifanya kama biashara ya kuingizia pesa, wakati kila mtu anajua mafuta ni hela. Lakini tusijisihau mafuta ndio force inayoendesha nchi. Kunasiku itabaki zero, nchi yote itasimama. Na kweli itasimama.
Ukiharibu kwenye mafuta unaharibu uchumi wote.
Bei za kila kitu zinaongezeka hadi bei ya chips inaongezeka.
Hatutaki kujenga viwanda, tunataka kwenda na uchumi feki. Uchumi wa kutegemea bidhaa za wengine wakati wao hawatutegemei.
Mungu hakutuumba tuwe tegemezi wa vitu vya watu. Na sisi tutengeneze vya kwetu tujiuzie wenyewe.
Masikini kodi tunazitaka zikakamilishe miradi. Na kodi zenyewe za uhakika zimo ndani ya mafuta. Cha kufanya hamna. Tungekua na hifadhi si tungetoa lita kadhaa za ruzuku.