Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😋😋😋😋😋😋😋Gesi mbona ipo mkuu.we uko wapii gesi ilishauzwa kitambo
Mkuu unatoa point za msingi kinomaHuu ndo wakati wa kufanya bater trade,
Watupe mafuta tuwape uranium au gas
Gesi ipo, shida ya gesi kuitumia kunahitaji miundombinu maalum, huwezi kuchota gesi maana ni hewa tu haionekani. Unahitaji uweke miundombinu maalum ili uweze kuitumia. Hata kuisafirisha mbali unahitaji miundombinu maalum tofauti na mafuta mkuu.Zile mbwembwe za gas ziliishiaga wapi?
Kama tuna gas basi tuuuze gas tununue mafuta
Nishati ina uhusiano na Physics na Chemistry. Wahusika walifaulu hayo masomo ? Hata kwa minimumMkuu mada kama hizi ungetuletea tu baada ya wiki mbili baada ya faraja. Qumermakay Sabaya limeachiwa.
Fak
Hao waarabu hawana msaada wowote katika taifa hili. Kwanza wanawatesa Sana wafanyakazi wala hawawalipi vizuri. Labda ungezungumzia wazungu waliotawala Tanganyika.Hii Nchi ingekuwa na Sera za kuijenga Sekta binafsi sio kuisimanga kuwa Waarabu wanatuibia kodi basi leo tungekuwa na Matajiri wakubwa sana ambao wangeweza kuwekeza kila sehemu kuanzia madini na nishati na sehemu nyingi wangezalisha ajira kedekede
Yule Punguwani alituaminisha kuwa Wafanyabiashara ni Maadui wa Taifa.
Huyo mzee ndo pimbi kabisayeye mwenyewe alituachia katiba ya hovyo
Kwa ni wewe ni nani,tyanzie hapo....😁Mwaka 2020 nilishauri serikali juu ya energy security ila haikunielewa.
Energy security ni muhimu sana kwa taifa lolote duniani maana huwezi jua ni wakati gani hali ya usalama wa dunia inaweza kuchafuka.
Na ikichafuka tusidhani kwamba viongozi ndio tutapona, hapana wote tutaathirika.
Kuna wakati fulani mafuta hayatakuwepo hata tone. Uchumi utasimama kabisa. Speed itakua 0 m/s.
Ndio maana nchi zinawekeza kutafuta mafuta yao wenyewe ili ziweze kuwa na energy security.
Ndio maana nchi zinazojielewa duniani zinahifadhi mafuta ya kutumia kipindi cha shida. Zimejenga storage kubwa zenye uwezo wa kuhifadhi mafuta ya kutumia miaka na miaka.
Sisi Tanzania tunaichezea sekta ya nishati, timeifanya kama biashara ya kuingizia pesa, wakati kila mtu anajua mafuta ni hela. Lakini tusijisihau mafuta ndio force inayoendesha nchi. Kunasiku itabaki zero, nchi yote itasimama. Na kweli itasimama.
Ukiharibu kwenye mafuta unaharibu uchumi wote.
Bei za kila kitu zinaongezeka hadi bei ya chips inaongezeka.
Hatutaki kujenga viwanda, tunataka kwenda na uchumi feki. Uchumi wa kutegemea bidhaa za wengine wakati wao hawatutegemei.
Mungu hakutuumba tuwe tegemezi wa vitu vya watu. Na sisi tutengeneze vya kwetu tujiuzie wenyewe.
Masikini kodi tunazitaka zikakamilishe miradi. Na kodi zenyewe za uhakika zimo ndani ya mafuta. Cha kufanya hamna. Tungekua na hifadhi si tungetoa lita kadhaa za ruzuku.
Wafanyakazi wa Bakhresa and Co ndio wanaolipwa vizuri kuliko wa Idara nyingi za Serikali.Hao waarabu hawana msaada wowote katika taifa hili. Kwanza wanawatesa Sana wafanyakazi wala hawawalipi vizuri.
Mwalimu Nyerere alisema tatizo ni ujinga
Hao waarabu hawana msaada wowote katika taifa hili. Kwanza wanawatesa Sana wafanyakazi wala hawawalipi vizuri. Labda ungezungumzia wazungu waliotawala Tanganyika.
Ukimuuliza Waarabu wamemfanya nini sijui kama ana jibu.umeuharibu uzi wako kwa kuonyesha Ujinga wako
Kivipi mkuu, umewahi fanya kazi na waarabu. Kwanini Zanzibar hao waarabu wapo lakini hakuna maendeleo. Ukifanya kazi Zanzibar, mshahara unaopata unaujua???umeuharibu uzi wako kwa kuonyesha Ujinga wako
Kivipi mkuu, umewahi fanya kazi na waarabu. Kwanini Zanzibar hao waarabu wapo lakini hakuna maendeleo. Ukifanya kazi Zanzibar, mshahara unaopata unaujua???
Hili sijashuhudia wazungu wenye roho mbayaZanzibar mbona hata na wazungu wapo, Mahoteli mengi sana yanamilikiwa na kuendeshwa na Wazungu na pia mishahara ni mibovu. Suala la mishahara ni tatizo la Serekali yenyewe kushindwa kusimamia maslahi mazuri kwa waajiriwa.