Nilishawahi kuishauri Serikali juu ya energy security ila haikunielewa

Huu ndo wakati wa kufanya bater trade,
Watupe mafuta tuwape uranium au gas
 
Hii Nchi ingekuwa na Sera za kuijenga Sekta binafsi sio kuisimanga kuwa Waarabu wanatuibia kodi basi leo tungekuwa na Matajiri wakubwa sana ambao wangeweza kuwekeza kila sehemu kuanzia madini na nishati na sehemu nyingi wangezalisha ajira kedekede

Yule Punguwani alituaminisha kuwa Wafanyabiashara ni Maadui wa Taifa.
 
Zile mbwembwe za gas ziliishiaga wapi?

Kama tuna gas basi tuuuze gas tununue mafuta
Gesi ipo, shida ya gesi kuitumia kunahitaji miundombinu maalum, huwezi kuchota gesi maana ni hewa tu haionekani. Unahitaji uweke miundombinu maalum ili uweze kuitumia. Hata kuisafirisha mbali unahitaji miundombinu maalum tofauti na mafuta mkuu.
 
Mkuu mada kama hizi ungetuletea tu baada ya wiki mbili baada ya faraja. Qumermakay Sabaya limeachiwa.

Fak
Nishati ina uhusiano na Physics na Chemistry. Wahusika walifaulu hayo masomo ? Hata kwa minimum
 
Hao waarabu hawana msaada wowote katika taifa hili. Kwanza wanawatesa Sana wafanyakazi wala hawawalipi vizuri. Labda ungezungumzia wazungu waliotawala Tanganyika.
 
Kwa ni wewe ni nani,tyanzie hapo....😁
 
Hao waarabu hawana msaada wowote katika taifa hili. Kwanza wanawatesa Sana wafanyakazi wala hawawalipi vizuri.
Wafanyakazi wa Bakhresa and Co ndio wanaolipwa vizuri kuliko wa Idara nyingi za Serikali.

Lakini chuki dhidi ya Waarabu huenda ni Dini ya HAKI waliotuletea.

Kama ni Utumwa hata Wazungu walishiriki hata leo Biashara ya Utumwa ikirudi ni sisi kwa sisi ndio tutauzana na CCM itashiriki kutuuza sisi Wapinzani.
 
umeuharibu uzi wako kwa kuonyesha Ujinga wako
Kivipi mkuu, umewahi fanya kazi na waarabu. Kwanini Zanzibar hao waarabu wapo lakini hakuna maendeleo. Ukifanya kazi Zanzibar, mshahara unaopata unaujua???
 
Kivipi mkuu, umewahi fanya kazi na waarabu. Kwanini Zanzibar hao waarabu wapo lakini hakuna maendeleo. Ukifanya kazi Zanzibar, mshahara unaopata unaujua???

Zanzibar mbona hata na wazungu wapo, Mahoteli mengi sana yanamilikiwa na kuendeshwa na Wazungu na pia mishahara ni mibovu. Suala la mishahara ni tatizo la Serekali yenyewe kushindwa kusimamia maslahi mazuri kwa waajiriwa.
 
Zanzibar mbona hata na wazungu wapo, Mahoteli mengi sana yanamilikiwa na kuendeshwa na Wazungu na pia mishahara ni mibovu. Suala la mishahara ni tatizo la Serekali yenyewe kushindwa kusimamia maslahi mazuri kwa waajiriwa.
Hili sijashuhudia wazungu wenye roho mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…