Nilishindwa kulala usiku baada ya kusoma 'Sheria mpya ya Usalama wa Taifa'. Nimeumia sana kama mwananchi wa kawaida

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
2,326
Reaction score
1,314
Nimeona kama wasiojulikana wamewekwa rasmi kwenye mfumo wa kiutawala.

Kwanini?

Kwa sababu hakuna anayewafahamu maafisa usalama wa Taifa kwa uwazi. Wapo kwa kificho zaidi kama wasiojulikana. Hakuna anayefahamu mipaka ya maafisa wa usalama wa Taifa. Haijulikani wanaanzia wapi na kuishia wapi mipaka yao kimajukumu.

Mwekezaji mzawa ama wa kudumu anawezaje kuwekeza kwenye Nchi ambayo kuna mamlaka makubwa yasiyojulikana juu ya hatma yake kibiashara ama kimaisha ama uhai wake? Ni ngumu sana.

Wakuu, nimeogopa hili Taifa kuliko kawaida. Ni Taifa langu la kuzaliwa. Lakini siwezi tena kujivunia. Naogopa. Nadhani, busara ni kufanya utaratibu wa kuhamia Burundi, kule huenda kuna unafuu zaidi kuliko Tanzania.

Hawa huwezi kukabiliana nao kwa lolote lile. Utahatarisha maisha yako bila sababu. Wana mamlaka makubwa kuzidi hata ya Rais mwenyewe. Watakufanya lolote lile watakalo na huna la kuwafanya. Yaani, kitakachokuokoa ukijichanganya ni Mwenyenzi Mungu pekee ama huruma za tu za kibinadamu na si vinginevyo.

Unaweza tena kugombania nao demu? Thubutu.

Unaweza tena kujimbwafai ukiwa bar ukisema hii ni nchi yetu wote, usinitishe? Thubutu.

Unaweza tena kubishana Yanga na Simba kijiweni? Thubutu.

Unaweza tena kubishana ishu za Chadema na CCM kijiweni? Thubutu.

Nikiwa kama kiongozi wa Umma, kwa mfano: Kwa nini nisihakikishe mwanangu anaingia usalama wa Taifa ili apate kinga ya kudumu?

Hata hivyo, inasemekana mtaani waliojaa usalama wa Taifa ni watoto wa wakubwa. Inasemekana.

Je, huenda wakubwa na familia zao wameamua kujiwekea kinga za kudumu kwenye Taifa hili? Mungu anayajua. Itakubidi, uishi kwa kujikunyata maana hujui nani ni nani na anatekeleza majukumu yapi ya usalama wa Taifa.

Pamoja na hayo, kama Baraza la Mawaziri wameona sheria hiyo ipo kamili basi tena na iwe kama watakavyo. Kila mwananchi aangalie namna ya kujihami.

Huenda ni hofu yangu kwa kuwa sijaelewa vizuri sheria yenyewe. Kama hivyo, basi na uzi huu uondolewe isilete taharuki kwa wengine wasioelewa kama mimi.

"Unapowekewa kinga ya kutoshitakiwa ni kama vile umeambiwa fanya makosa kwa kadri uwezavyo ili mradi unafanya kwenye line ya majukumu yako kikazi. Ni kama vile umeondolewa umakini wako kazini........yaani ni sawa na kama umeambiwa huna sababu ya kuwa makini kazini kwako kwa sababu hata ukikosea hakuna kitu utafanywa maana ni makosa kazini".

Eeehhh Mungu Baba ingilia kati Taifa hili.

Naomba kuwasilisha!

Pia soma: Muswada wa mabadiliko ya Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa unaoifanya iwe chini ya usimamizi wa Rais watua Bungeni
 
Nimeona kama wasiojulikana wamewekwa rasmi kwenye mfumo wa kiutawala.

Kwa nini?

UTAKUWA NA VINASABA VYA UGAIDI
 
Nimeona kama wasiojulikana wamewekwa rasmi kwenye mfumo wa kiutawala.

Kwa nini?

Kwa sababu hakuna anayewafahamu maafisa usalama wa Taifa kwa uwazi. Wapo kwa kificho zaidi kama wasiojulikana.

Hakuna anayefahamu mipaka ya maaifa wa usalama wa Taifa. Haijulikani wanaanzia wapi na kuishia wapi mipaka yao kimajukumu.

Hakuna anayejua wanaajiri vipi watumishi wake. Haijulikani sana lkn wanaajiri wajuavyo wao.

Mwekezaji mzawa ama wa kudumu anawezaje kuwekeza kwenye nchi ambayo kuna mamlaka makubwa yasiyojulikana juu ya hatma yake kibiashara ama kimaisha ama uhai wake? Ni ngumu sana.

Wakuu, nimeogopa hili Taifa kuliko kawaida. Ni Taifa langu la kuzaliwa. Lakini siwezi tena kujivunia. Naogopa. Nadhani, busara ni kufanya utaratibu wa kuhamia Burundi.....kule huenda kuna unafuu zaidi kuliko Tanzania.

Hawa huwezi kukabiliana nao kwa lolote lile. Utahatarisha maisha yako bila sababu. Wana mamlaka makubwa kuzidi hata ya Rais mwenyewe. Watakufanya lolote lile watakalo na huna la kuwafanya.

Yaani, kitakachokuokoa ukijichanganya ni Mwenyenzi Mungu pekee ama huruma za tu za kibinadamu na si vinginevyo.

Unaweza tena kugombania nao demu? Thubutu.

Unaweza tena kujimbwafai ukiwa bar ukisema hii ni nchi yetu wote, usinitishe? Thubutu.

Unaweza tena kubishana Yanga na Simba kijiweni? Thubutu.

Unaweza tena kubishana ishus za Chadema na CCM kijiweni? Thubutu.

Nikiwa kama kiongozi wa Umma, kwa mfano: Kwa nini nisihakikishe mwanangu anaingia usalama wa Taifa ili apate kinga ya kudumu?

Hata hivyo, inasemekana mtaani waliojaa usalama wa Taifa ni watoto wa wakubwa. Inasemekana.

Je, huenda wakubwa na familia zao wameamua kujiwekea kinga za kudumu kwenye Taifa hili? Mungu anayajua.

Itakubidi, uishi kwa kujikunyata maana hujui nani ni nani na anatekeleza majukumu yapi ya usalama wa Taifa.

Pamoja na hayo, kama Baraza la Mawaziri wameona sheria hiyo ipo kamili....basi tena na iwe kama watakavyo. Kila mwananchi aangalie namna ya kujihami.

Huenda ni hofu yangu kwa kuwa sijaelewa vizuri sheria yenyewe. Kama hivyo, basi na uzi huu uondolewe isilete taharuki kwa wengine wasioelewa kama mimi.

Naomba kuwasilisha!

Pia soma:
Kuna mamlaka ya kidunia ila Mamla ya Mbinguni ni kubwa sana ,ukilijua hili , huwezi test mitambo ,

Shida ni pale wale katika mamlaka ya kidunia hushindwa elewa siri hii wakiamini katika watumishi wa kidunia wa dini mbalimbali kwamba ndo uwakilishi halisi wa mamlaka ya mbigu,

Amini na wambieni, wakapitishe tu ipo siku watajua hawajui, washindwe leta pia katiba mpya watajua hawajui,na imekua
 
Mimi sijausoma lkn nineoitia kwa wale ninaowaamini wanajua mambo mengi naona wote wameupiga. Sasa kwa kuwa sina imani na aajumbevwetu waliopo Bungeni, nami nimeanza kuogopa.

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
 
Nimeona kama wasiojulikana wamewekwa rasmi kwenye mfumo wa kiutawala.

Kwanini?

Kwa sababu hakuna anayewafahamu maafisa usalama wa Taifa kwa uwazi. Wapo kwa kificho zaidi kama wasiojulikana. Hakuna anayefahamu mipaka ya maafisa wa usalama wa Taifa. Haijulikani wanaanzia wapi na kuishia wapi mipaka yao kimajukumu.

Mwekezaji mzawa ama wa kudumu anawezaje kuwekeza kwenye Nchi ambayo kuna mamlaka makubwa yasiyojulikana juu ya hatma yake kibiashara ama kimaisha ama uhai wake? Ni ngumu sana.

Wakuu, nimeogopa hili Taifa kuliko kawaida. Ni Taifa langu la kuzaliwa. Lakini siwezi tena kujivunia. Naogopa. Nadhani, busara ni kufanya utaratibu wa kuhamia Burundi, kule huenda kuna unafuu zaidi kuliko Tanzania.

Hawa huwezi kukabiliana nao kwa lolote lile. Utahatarisha maisha yako bila sababu. Wana mamlaka makubwa kuzidi hata ya Rais mwenyewe. Watakufanya lolote lile watakalo na huna la kuwafanya. Yaani, kitakachokuokoa ukijichanganya ni Mwenyenzi Mungu pekee ama huruma za tu za kibinadamu na si vinginevyo.

Unaweza tena kugombania nao demu? Thubutu.

Unaweza tena kujimbwafai ukiwa bar ukisema hii ni nchi yetu wote, usinitishe? Thubutu.

Unaweza tena kubishana Yanga na Simba kijiweni? Thubutu.

Unaweza tena kubishana ishu za Chadema na CCM kijiweni? Thubutu.

Nikiwa kama kiongozi wa Umma, kwa mfano: Kwa nini nisihakikishe mwanangu anaingia usalama wa Taifa ili apate kinga ya kudumu?

Hata hivyo, inasemekana mtaani waliojaa usalama wa Taifa ni watoto wa wakubwa. Inasemekana.

Je, huenda wakubwa na familia zao wameamua kujiwekea kinga za kudumu kwenye Taifa hili? Mungu anayajua. Itakubidi, uishi kwa kujikunyata maana hujui nani ni nani na anatekeleza majukumu yapi ya usalama wa Taifa.

Pamoja na hayo, kama Baraza la Mawaziri wameona sheria hiyo ipo kamili basi tena na iwe kama watakavyo. Kila mwananchi aangalie namna ya kujihami.

Huenda ni hofu yangu kwa kuwa sijaelewa vizuri sheria yenyewe. Kama hivyo, basi na uzi huu uondolewe isilete taharuki kwa wengine wasioelewa kama mimi.

Naomba kuwasilisha!

Pia soma: Muswada wa mabadiliko ya Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa unaoifanya iwe chini ya usimamizi wa Rais watua Bungeni
Mtu anapowekewa kinga ya kushitakiwa kwa makosa anayofanya maana yake ni afanye makosa kadiri awezavyo.....unstoppable.

Tumekwisha.
 
"Unapowekewa kinga ya kutoshitakiwa ni kama vile umeambiwa fanya makosa kwa kadri uwezavyo ili mradi unafanya kwenye line ya majukumu yako kikazi. Ni kama vile umeondolewa umakini wako kazini........yaani ni sawa na kama umeambiwa huna sababu ya kuwa makini kazini kwako kwa sababu hata ukikosea hakuna kitu utafanywa maana ni makosa kazini".
 
"Unapowekewa kinga ya kutoshitakiwa ni kama vile umeambiwa fanya makosa kwa kadri uwezavyo ili mradi unafanya kwenye line ya majukumu yako kikazi. Ni kama vile umeondolewa umakini wako kazini........yaani ni sawa na kama umeambiwa huna sababu ya kuwa makini kazini kwako kwa sababu hata ukikosea hakuna kitu utafanywa maana ni makosa kazini".
Sahihi kbs
 
Sheria haifai kama ni kweli
Yaani mtu anaweza kukuua tu kwa wivu wa mapenzi kwa mfano,halafu aka fabricate ulikuwa unahatarisha usalama wa taifa na hawezi kushitakiwa kwa mauaji?
Ni hatari sana hii
Noma sana
 
Back
Top Bottom