Nilishiriki mapokezi ya ndege boeing 737 - MAX 9

Shirika hilo kwa Tanzania hii usifikiri kuna siku utasikia limeingiza faida.
.tumeshindwa mabasi ya mjini tu, ambayo hayana ushindani wa kibiashara tutaweza midege, ambayo ina upinzani wa kimataifa?

Sahau neno faida huko.
Sasa kwa nini serikali inaendelea kuzinunua hizo ndege kwa fujo huku ikitambua fika haziwezi kuzalisha faida? Ni kwa nini wasingeachiwa sekta binafsi kufanya hiyo biashara?

Serikali ingeweza tu kukodisha miundombinu yake, na pia kusimamia usalama na ukusanyaji wa kodi na tozo zake mbalimbali!
 
Sidhani, hapo anatafuta kuchomokea viti maalum au uDC hapo unahitaji kujua kusoma na kuandika pekee
Tatizo baadhi yao wanaishia kuwasterehesha wazee wetu tu. Kuna mrembo mmoja aliwahi ambulia maokoto na gari (Raum), sasa hivi hata hela ya vocha hana.
 
Comrade umesahau kuweka namba ya simu
 
Niseme tu, hii spidi uliyoingia nayo JF ndio spidi hiyo hiyo utatoka nayo JF. Ni Ushauri tu kutokana na machawa waliotangulia kabla yako.
 
Prestige.

Faida zipo lakini za indirect.
 
Kuna wakati baadhi ya watu wanakuwa ni kama wanadhihaki kazi ya ubongo wao! Duuh Tanzania bhana!
 
Chawa mmefikia hadi huku.

Halafu huyu chawa anatokea Mbozi kwao Lucas Mbwa Wa Shamba.

Hamuoni aibu?
 
Faida Ya Ndege Si Ya Siku Moja…… Na Biashara Yoyote Ni Lazima Uipe Muda Ikue
 
Kulala kwenye ndege ni adhabu kubwa sana kwenye vitu vya economy...nilisumbuka sana wakati tunatoka Guangzhou to Dar.
Kama wameviondoa kama ukivyosema basi kuna shida kubwa sana.
 
Unajua lolote kuhusu ufafiri wa Anga? yaani wewe binafisi achana na maelezi ya wanasiasa
 
Ukimaliza kuposti ukajipongeze kwa chipsi kavu na kachumbari maisha yaendelee!
 
Naanza kuelewa kwa nini ulitueleza unajivunia kuwa mwana CCM!You've got a loose nut unto your pvmpkn-head!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…