Janeth Thomson Mwambije
Member
- Apr 11, 2024
- 24
- 55
- Thread starter
-
- #61
Miaka Nenda, Miaka Mingapi???Shirika la hizo ndege miaka nenda linazalisha hasara tu badala ya faida! Na hii ni kwa mujibu wa ripoti mbalimbali za kila mwaka, kutoka ofisi ya CAG! Ila viongozi wako hata hawakomi! Wanaendelea tu kununua hizo ndege.
Hivi watakuwa wamerogwa au!! Maana kwa sisi tunaofanya biashara, hakuna kitu tunakiogopa kama kile cha kufanya biashara isiyo na faida!! Au ni kwa sababu hizo hela wanazo zichezea, hawazitolei jasho?
Kheee...!! Hivi unajua tuna muda gani tangu tuanze kupata hasara..!!??? Unaonyesha hujui ulisemaloFaida Ya Ndege Si Ya Siku Moja…… Na Biashara Yoyote Ni Lazima Uipe Muda Ikue
Una umri gani?Miaka Nenda, Miaka Mingapi???
Huyu Janeth Thomson Mwambije akikujibu naomba uni-tagUnajua lolote kuhusu ufafiri wa Anga? yaani wewe binafisi achana na maelezi ya wanasiasa
Angalia picha yake halafu upime kama kuna uhalali wa kubishana naye.Kheee...!! Hivi unajua tuna muda gani tangu tuanze kupata hasara..!!??? Unaonyesha hujui ulisemalo
Nilifanikiwa Kushiriki Kwenye Mapokezi Ya Ndege Mpya (Boeing 737 - Max 9) Ya Shirika La Air Tanzania (Air Tanzania Company Limited)
Asante kwa hili. Huyu Janeth Thomson Mwambije ni mtoto badoAngalia picha yake halafu upime kama kuna uhalali wa kubishana naye.
Dada mshushie nondo,hii jf kuna watu vichwa sana kwa hiyo tegemea kukutana na maswaliUnapambana sana!
Nataka nikupime kama una uwezo wa kuwa kiongozi katika Tanzania hii iliyopo kwenye dunia ya ushindani.
Nisaidie kwa mawazo yako. Unadhani Tanzania ijike kwenye maeneo gani na ifanye nini ili kuhakikisha inakuwa Nchi ya Uchumi wa Kati au Juu katika miaka 50 ijayo?
Haha hawa si ndy ukimzingua mama wanakupoteza 😄Chawa mmefikia hadi huku.
Halafu huyu chawa anatokea Mbozi kwao Lucas Mbwa Wa Shamba.
Hamuoni aibu? View attachment 2966285
Unauliza swali kama mtoto wa primary! Kwani ni lini hilo shirika la ndege liliwahi kuzalisha faida, tangu lipoanzishwa?Miaka Nenda, Miaka Mingapi???
Yaani huyu Janeth Thomson Mwambije bado ana utoto sanaHili swali lake limenishangaza sana. Inaonekana mtoa mada ndiyo ile sampuli ya wabunge wa viti maalum kule Bungeni kutoka ccm! Yaani anachojua ni kupiga tu vigelegele.
Kwenye hiyo ndege Business haina tofauti na economyKulala kwenye ndege ni adhabu kubwa sana kwenye vitu vya economy...nilisumbuka sana wakati tunatoka Guangzhou to Dar.
Kama wameviondoa kama ukivyosema basi kuna shida kubwa sana.
Unampimaje mtu kwa kumwambia "in advance" kuwa ninataka kukupima?? Utapata desired results kwa namna hii?? Does the CIA work like this??..Unapambana sana!
Nataka nikupime kama una uwezo wa kuwa kiongozi katika Tanzania hii iliyopo kwenye dunia ya ushindani.
Unampimaje mtu kwa kumwambia "in advance" kuwa ninataka kukupima?? Utapata desired results kwa namna hii?? Does the CIA work like this??..Unapambana sana!
Nataka nikupime kama una uwezo wa kuwa kiongozi katika Tanzania hii iliyopo kwenye dunia ya ushindani.