Nilishuka kwenye verossa tinted nyeus nikaingia bank kuweka milion 50

Iyo mil50 nimegee kidogo maana mm sina ushauri kwe maswala ya mimba
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Nilishuka kwenye gar zur aina ya verosa lenye namba C maana nimekuwa nalo toka mwaka jana

Nilimuona mama wa makamo akishuka kwenye gar lake aina ya NADIA tulikutanisha macho nikatabasam naye akatabasam vile vile, nilimpa hai YES MOMY akasema WARAP BOY nilimfuata nikamuomba namba yake ya cm akanipa then mimi nikaingia bank kupeleka mapene marefu

sikutaka hata kumuchelewa nilimpiga mistar aingia lain nikawa nampiga chuma kama kawa licha ya kunizid umur, nilianz kuwa naenda had kwake, nyumban kwake kulikuwa na mabinti wawili wakali kinoma

Yule binti mmoja alinizoea zoea nikambandua na yule wa pili naye alinizoea nikamdundua pia kulikuwa kuna dada wa kaz pale home naye pia nilimbandua

Kwa sasa niko kwenye hali mbaya sana maana kuanzia yule mama na wale watoto wake wawili pamoja na yule dada wa kaz wote wana mimba na wote wanadai mimi ndo mwenye hiyo mizigo

Yaan hiyo inaitwa nimekula kuku na mayai yake

Naomben ushaul wenu

LONDON BABY

huwa najibugi madudud yako, ila kwa hili nimejua wewe ni mwendawazimu, na ninaomba msamaha kila mtu kwa kuwa na reply upuuzi wa huyu mtu
 
Form four mmemaliza mitihan mnakuja kusumbua huku kwa kuandika upuuzi
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Nilishuka kwenye gar zur aina ya verosa lenye namba C maana nimekuwa nalo toka mwaka jana

Nilimuona mama wa makamo akishuka kwenye gar lake aina ya NADIA tulikutanisha macho nikatabasam naye akatabasam vile vile, nilimpa hai YES MOMY akasema WARAP BOY nilimfuata nikamuomba namba yake ya cm akanipa then mimi nikaingia bank kupeleka mapene marefu

sikutaka hata kumuchelewa nilimpiga mistar aingia lain nikawa nampiga chuma kama kawa licha ya kunizid umur, nilianz kuwa naenda had kwake, nyumban kwake kulikuwa na mabinti wawili wakali kinoma

Yule binti mmoja alinizoea zoea nikambandua na yule wa pili naye alinizoea nikamdundua pia kulikuwa kuna dada wa kaz pale home naye pia nilimbandua

Kwa sasa niko kwenye hali mbaya sana maana kuanzia yule mama na wale watoto wake wawili pamoja na yule dada wa kaz wote wana mimba na wote wanadai mimi ndo mwenye hiyo mizigo

Yaan hiyo inaitwa nimekula kuku na mayai yake

Naomben ushaul wenu

LONDON BABY
Hapo umekula kuku+mayai+ manyoya
 
ningekuwa nina mandate ya kutoa watu humu huyu jamaa angekuwa nilishaparua kitaambo,,sijawahi kuona jamaa ana pumba kama huyu,sijui ni mtu wa wapi...lazima kaskazini visiwani huko...
 
Hahaaaaaa mkuu acha roho mbaya aisee
 
Naona unapenda sana fiksi na fiction stories nakushauri anzisha blog au fungua akaunt insta utapata followers wengi mana watu wanapenda kucheka au uwe stand up comedian mchekesha watu utapata hela kuliko humu mtu akicheka kaishia kuweka emoticons za kucheka na unakuta hapo kakunja sura bora uone watu wakcheka kwa stori zako hizi za kutunga ushauri tu
Nina acount inster lakin nishaetelekeza ngoja nikaifufue nifate ushaur wako
 
Back
Top Bottom