Nilishuka kwenye verossa tinted nyeus nikaingia bank kuweka milion 50

Iyo mil50 nimegee kidogo maana mm sina ushauri kwe maswala ya mimba
 
huwa najibugi madudud yako, ila kwa hili nimejua wewe ni mwendawazimu, na ninaomba msamaha kila mtu kwa kuwa na reply upuuzi wa huyu mtu
 
Form four mmemaliza mitihan mnakuja kusumbua huku kwa kuandika upuuzi
 
Hapo umekula kuku+mayai+ manyoya
 
Msihangaike huyu ni HR 666 typically kabsaaaaaa
 
ningekuwa nina mandate ya kutoa watu humu huyu jamaa angekuwa nilishaparua kitaambo,,sijawahi kuona jamaa ana pumba kama huyu,sijui ni mtu wa wapi...lazima kaskazini visiwani huko...
 
ningekuwa nina mandate ya kutoa watu humu huyu jamaa angekuwa nilishaparua kitaambo,,sijawahi kuona jamaa ana pumba kama huyu,sijui ni mtu wa wapi...lazima kaskazini visiwani huko...
Hahaaaaaa mkuu acha roho mbaya aisee
 
Nina acount inster lakin nishaetelekeza ngoja nikaifufue nifate ushaur wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…