Nilishuka kwenye verossa tinted nyeus nikaingia bank kuweka milion 50

@mods mmeanza uzinguaji eti?? Nlipost kauzi kama haka then mka kadelete bt hii mmeacha,mnaangalia majina Eti??
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Nilishuka kwenye gar zur aina ya verosa lenye namba C maana nimekuwa nalo toka mwaka jana

Nilimuona mama wa makamo akishuka kwenye gar lake aina ya NADIA tulikutanisha macho nikatabasam naye akatabasam vile vile, nilimpa hai YES MOMY akasema WARAP BOY nilimfuata nikamuomba namba yake ya cm akanipa then mimi nikaingia bank kupeleka mapene marefu

sikutaka hata kumuchelewa nilimpiga mistar aingia lain nikawa nampiga chuma kama kawa licha ya kunizid umur, nilianz kuwa naenda had kwake, nyumban kwake kulikuwa na mabinti wawili wakali kinoma

Yule binti mmoja alinizoea zoea nikambandua na yule wa pili naye alinizoea nikamdundua pia kulikuwa kuna dada wa kaz pale home naye pia nilimbandua

Kwa sasa niko kwenye hali mbaya sana maana kuanzia yule mama na wale watoto wake wawili pamoja na yule dada wa kaz wote wana mimba na wote wanadai mimi ndo mwenye hiyo mizigo

Yaan hiyo inaitwa nimekula kuku na mayai yake

Naomben ushaul wenu

LONDON BABY
Tofauti kati ya mnyama na mwanadamu, ni staha! Pamoja na mali unayodai kumiliki, inadhihirisha imekutia majivuno na majigambo kiasi cha kusahau utu wako. Ushauri wangu kwako ni: TOBA! Tubu na ujielekeze kwa Mola wako na kama mali uliyonayo ndiyo inakufanya uwe hivyo, basi itoe yote kwa Mola wako!
 
Hivi kumbe "C" nayo ni namba siku hizi.

Kweli niko nyuma sana ngoja nikaze mwendo.
 
Umesahau kutuhadithia kuhusu yule mlinzi wa kike uliyemkuta getini naye ulimbandua, na yule mbwa wao wa kizungu mwenye manyoya mengi walivyokuacha naye sebuleni ulimbandua pia. Kwa hiyo umewapa mimba wanawake 5 na mbwa 1, pole sana mkuu ndo uanaume huo
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Nilishuka kwenye gar zur aina ya verosa lenye namba C maana nimekuwa nalo toka mwaka jana

Nilimuona mama wa makamo akishuka kwenye gar lake aina ya NADIA tulikutanisha macho nikatabasam naye akatabasam vile vile, nilimpa hai YES MOMY akasema WARAP BOY nilimfuata nikamuomba namba yake ya cm akanipa then mimi nikaingia bank kupeleka mapene marefu

sikutaka hata kumuchelewa nilimpiga mistar aingia lain nikawa nampiga chuma kama kawa licha ya kunizid umur, nilianz kuwa naenda had kwake, nyumban kwake kulikuwa na mabinti wawili wakali kinoma

Yule binti mmoja alinizoea zoea nikambandua na yule wa pili naye alinizoea nikamdundua pia kulikuwa kuna dada wa kaz pale home naye pia nilimbandua

Kwa sasa niko kwenye hali mbaya sana maana kuanzia yule mama na wale watoto wake wawili pamoja na yule dada wa kaz wote wana mimba na wote wanadai mimi ndo mwenye hiyo mizigo

Yaan hiyo inaitwa nimekula kuku na mayai yake

Naomben ushaul wenu

LONDON BABY
Fiksi
 
Back
Top Bottom