Ushauli.Huu ndo ushaul wako mkuu
Tofauti kati ya mnyama na mwanadamu, ni staha! Pamoja na mali unayodai kumiliki, inadhihirisha imekutia majivuno na majigambo kiasi cha kusahau utu wako. Ushauri wangu kwako ni: TOBA! Tubu na ujielekeze kwa Mola wako na kama mali uliyonayo ndiyo inakufanya uwe hivyo, basi itoe yote kwa Mola wako!Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Nilishuka kwenye gar zur aina ya verosa lenye namba C maana nimekuwa nalo toka mwaka jana
Nilimuona mama wa makamo akishuka kwenye gar lake aina ya NADIA tulikutanisha macho nikatabasam naye akatabasam vile vile, nilimpa hai YES MOMY akasema WARAP BOY nilimfuata nikamuomba namba yake ya cm akanipa then mimi nikaingia bank kupeleka mapene marefu
sikutaka hata kumuchelewa nilimpiga mistar aingia lain nikawa nampiga chuma kama kawa licha ya kunizid umur, nilianz kuwa naenda had kwake, nyumban kwake kulikuwa na mabinti wawili wakali kinoma
Yule binti mmoja alinizoea zoea nikambandua na yule wa pili naye alinizoea nikamdundua pia kulikuwa kuna dada wa kaz pale home naye pia nilimbandua
Kwa sasa niko kwenye hali mbaya sana maana kuanzia yule mama na wale watoto wake wawili pamoja na yule dada wa kaz wote wana mimba na wote wanadai mimi ndo mwenye hiyo mizigo
Yaan hiyo inaitwa nimekula kuku na mayai yake
Naomben ushaul wenu
LONDON BABY
dogo anajiita msukuma ila nahisi ni ishomileIssue ya mimba na kuweka million 50 benki zina uhusiano gani?
Sijawahi kuchukia mtu mkuu....ila contents zako...bana banaaa [emoji38][emoji38][emoji38]Mkuu kwani kosa langu hapa ni lipi acha kunichukia pasipo sababu kiongoz wangu
FiksiAman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Nilishuka kwenye gar zur aina ya verosa lenye namba C maana nimekuwa nalo toka mwaka jana
Nilimuona mama wa makamo akishuka kwenye gar lake aina ya NADIA tulikutanisha macho nikatabasam naye akatabasam vile vile, nilimpa hai YES MOMY akasema WARAP BOY nilimfuata nikamuomba namba yake ya cm akanipa then mimi nikaingia bank kupeleka mapene marefu
sikutaka hata kumuchelewa nilimpiga mistar aingia lain nikawa nampiga chuma kama kawa licha ya kunizid umur, nilianz kuwa naenda had kwake, nyumban kwake kulikuwa na mabinti wawili wakali kinoma
Yule binti mmoja alinizoea zoea nikambandua na yule wa pili naye alinizoea nikamdundua pia kulikuwa kuna dada wa kaz pale home naye pia nilimbandua
Kwa sasa niko kwenye hali mbaya sana maana kuanzia yule mama na wale watoto wake wawili pamoja na yule dada wa kaz wote wana mimba na wote wanadai mimi ndo mwenye hiyo mizigo
Yaan hiyo inaitwa nimekula kuku na mayai yake
Naomben ushaul wenu
LONDON BABY
Du! Ndekejage. Kumbe ni mtuNahene