Nilishuka kwenye verossa tinted nyeus nikaingia bank kuweka milion 50

Basi sawa
 
Ushauri wa muhimu ni kuokoka na kuacha dhambi ya uzinzi maana kwa hali ilivyo huna namna ya kuikwepa jehanum ya moto.
Zaidi ya kumkabidhi Yesu maisha yako..
 
Ushauri wa muhimu ni kuokoka na kuacha dhambi ya uzinzi maana kwa hali ilivyo huna namna ya kuikwepa jehanum ya moto.
Zaidi ya kumkabidhi Yesu maisha yako..
Poa poa mkuu nitazingatia ushaur wako
 
....Ndiyo story za vijana wa kibongo, halafu tunataka uchumi wa viwanda huku main agenda ni ngono,ngono,ngono....Trump was very right....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…