....Kwenye hilo jukwaa ulichoona wewe ni ngono na ufuska tuu? Huna la maana la kujadili na watanzania wenzako zaidi ya ufuska? Hiyo akili yako imejaa ufuska tuuu?
Fanya kazi hata ya kuendesha bodaboda hizi ndoto hazitokufikisha popote,ulizaliwa mwanaume komaa kuzisaka ukilala utajikuta unalaliwa watu wamepinda siku hizi.
Usikute wakati anatunga stori yake hakuwa na hata 500 ya kununua Sayona wala Fursana
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji377][emoji377][emoji377]
[emoji2445][emoji2445][emoji2445]