Nilisikia kwamba eti...

Habari wana-chit-chat!
Anza sentensi kwa maneno "Nilisikia kwamba eti...."

Mfano;
Nilisikia kwamba eti ukikaa kimya kwa mda mrefu kinywa kinanuka.!
Nilisikia et kwamba Bashite ni Pung*****
 
Nilisikia kwamba eti mkuu wa kijiji kumbe anakula marinda ya yule kijana mwenye mbwebwe aneongoza mtaa wa baharini ndio maana anamlinda asitolewe kijijini
Hahaha hiyo ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…