Nilisikia kwamba eti...

Nilisikia kwamba eti mwanamke akitaka kukuacha kama amekuchoka anaanza kisingizia ana mimba yako wakati hata kucheza mpira hamkucheza wote
 
Nilisikia kwamba eti mwanamke akitaka kukuacha kama amekuchoka anaanza kisingizia ana mimba yako wakati hata kucheza mpira hamkucheza wote
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dadeeeeeeeewek
Nasikia usser alipewa ban kurudi akakuta baby wake mahondaw kachukuliwa na saint ivuga
nmeskia et baada ya kupewa za uso
Kwa joanah na paprika,candyscopion ukaamua kumuanzishia uz numbisa lakin yote 9,10 umeendelea kupokea za uso tena mbele ya kadamnas
 
nmeskia et baada ya kupewa za uso
Kwa joanah na paprika,candyscopion ukaamua kumuanzishia uz numbisa lakin yote 9,10 umeendelea kupokea za uso tena mbele ya kadamnas
Aiseee wewe ni zaidi ya umbea.
Malengo yako ni nini au ili joanah aniache. Hatoki ngooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…