joshydama
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,623
- 5,039
Nilisikia eti yakidondoka yanakuwa kama malapa.Nilisikia eti yakindondoka yanapasuka....
Eti ukitembea utasikia lapa lapa lapa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilisikia eti yakidondoka yanakuwa kama malapa.Nilisikia eti yakindondoka yanapasuka....
Niliskia eti akupendae hajali kasoro waache waseme na usiku huu wamelala.Nilisikia kwamba eti lisemwalo lipo alafu nilisikiaga kwamba eti Shunie na espy hawanaga tabia mbaya ya uongo
Nimemuhangaikia sana wacha nimfaidi aisee toka enzi za mond bin rayRay van anakuchukua hivi
Ray van Boy hili jibu litanifanya niweke silaha chini maana sitaki kukurubuni mdogo wangu.
Haha mwache huyu ni mdogo wangu nilimpokea bhana.
Nimemuhangaikia sana wacha nimfaidi aisee toka enzi za mond bin ray
Nmeskia hapo pamoja na ujanja woteKwakweli umenibamba mbaya...
Malabuku zako na robo wallah...
Yess you are real brotherHaha mwache huyu ni mdogo wangu nilimpokea bhana.
Nitapata laana swahiba
Siku zingine umlete shemeji tumsalimie basiYess you are real brother
nmeskia et baada ya kupewa za usoDadeeeeeeeewek
Nasikia usser alipewa ban kurudi akakuta baby wake mahondaw kachukuliwa na saint ivuga
Babu em nibadilishie jina hilo puliiiz
Aiseee wewe ni zaidi ya umbea.nmeskia et baada ya kupewa za uso
Kwa joanah na paprika,candyscopion ukaamua kumuanzishia uz numbisa lakin yote 9,10 umeendelea kupokea za uso tena mbele ya kadamnas
joanah msalimie shem wako huyu kwa mond bin ray.Siku zingine umlete shemeji tumsalimie basi