Nilisikia kwamba eti...

Nilisikia kwamba eti...

Nilisikia kwamba eti baada ya my man mondray kupewa life ban akaamua kujipoza na hii ya Ray van Boy
Nilisikia kwamba Joanah hampendi mondray ila anamuigizisha muvi tu la spartacus.
 
niliskia kwamba eti...nikiandika hivi lazima utasoma eti......
 
Mi nlisikia eti ulinisedyuzi ndo maana Sakayo hana imani na mimi tena.

Kwanini lakini??
Kukusedyuzi akati niko macho ivi au ndotoni!!! Sina kumbukumbu ya hicho kitendo [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
 
Back
Top Bottom