Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Nilisikia kwamba eti kuwa na mchumba Daby ni kujitafutia pressureNiliskia eti unanitaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilisikia kwamba eti kuwa na mchumba Daby ni kujitafutia pressureNiliskia eti unanitaka
Hahaha....Labda itokee tu sheikh...
Nimekushika nyeti hapo hufurukutiKwakweli umenibamba mbaya...
Malabuku zako na robo wallah...
😀 😀 😀Nilisikia kwamba eti Antonio de Guzman ni member mzuri wa CHAPUTA
Niliskia eti unanitaka
Mkuu umekosea njia rudi nyumanyuma bila kugeuka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Hii hujaisikia swahiba... hii ni uhakika.
Anakutaka labda ushindwe mwenyewe
Nisamehe kiongozi wangu. Sitarudia tena wallahNimekushika nyeti hapo hufurukuti
Mpaka uelezeew na sisahauu
Kazi kumendea warembo badala ya kufata vibibi kama Faizaf
Nasema mpotezeeHahaha....
Kweli ukiwa na mchumba mwingine ni kujitafutia pressure. Baki na mondray wako anakupenda sanaNilisikia kwamba eti kuwa na mchumba Daby ni kujitafutia pressure
Ray van anakuchukua hivi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
Aiseeee wewe hebu wacha kuchanganya unga na mcheleNmeskia kwamba et kwa mwendo huu
Numbisa anakuandalia gazet la
Mipasho
Nmeskia et ban co nzur hata kwa masaa 2Nilisikia kwamba eti baada ya my man mondray kupewa life ban akaamua kujipoza na hii ya Ray van Boy
Hahaaaaa imewabamba hiyoNmeskia et sasa ray van ndo
Ameleta id mbaya kuliko zote jf
Usisikie tena. Mi ni babu. Kesho njoo na kamera upate picha za kuweka makumbusho...Nilisikia kwamba eti wanakuita babu ...mbona picha haiji ya Asprin kuwa babu jamani
Nilisikia kwamba eti lisemwalo lipo alafu nilisikiaga kwamba eti Shunie na espy hawanaga tabia mbaya ya uongo
Nmeskia et kuliko upgwe life banHabari za uchochezi!!! Ivi ban yake haijaisha tu!!!?
Mpaka utueleze wanashangilia vipi ndio tutaelewanaNisamehe kiongozi wangu. Sitarudia tena wallah