Nilisikia kwamba eti...

Nilisikia kwamba eti...

Tupo bhana, sikujua ka unatembeaga
hahahhah sakayo jana manga kalike comment zangu mmu leo namwambia niliona jana notification zako et ohhh sio mm kabisa mm huwa sitembei n wa hapa hapa
 
We pigia picha mda mwingine unaweza angalia movies hadi sa kumi alfajiri ila kwenye mkesha kanisani, saa tano tu usiku unadonoa ile mbaya.
hapa lazima gwajima ahusike katika kulitoa pepo baya[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji40]
 
Back
Top Bottom