joshydama
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,623
- 5,039
Yeah.. Nipo tayari kwa loloteWe umeichoka amani sio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah.. Nipo tayari kwa loloteWe umeichoka amani sio
Nilisikia et kwamba Bashite ni Pung*****Habari wana-chit-chat!
Anza sentensi kwa maneno "Nilisikia kwamba eti...."
Mfano;
Nilisikia kwamba eti ukikaa kimya kwa mda mrefu kinywa kinanuka.!
Hahaha hiyo ni kweli?Nilisikia kwamba eti mkuu wa kijiji kumbe anakula marinda ya yule kijana mwenye mbwebwe aneongoza mtaa wa baharini ndio maana anamlinda asitolewe kijijini
[emoji32] [emoji32] [emoji40] nilisikia eti wala hakuniambia mtu [emoji3] [emoji3] [emoji3]Alokwambia ni mnafiki
situmii pmUnaanzia pm
Hayasitumii pm
ulichoskia n uongo nenda kasikie tenaNilisikia eti [emoji32] [emoji32] [emoji32] ila nilishapa majibu
hahahh nitakwambia tukiwa wawili tuNajua hapa huwezi sema, utaniambia baadae tukiwa mezani
Hahahahh ndio kumbe umeelewaKarudia id yake ya zamani
haahhahahVichoyo utavijua tuu.... havimjui hata mungu
sawa dadaUsijali, au nitakufowadia kabisaa
jipe moyoIpo siku nitapoozwa kwa mambo motomoto.
Na sitokata tamaa kuhusu hilo.
hahahah chezea komeo hivi alimaanisha nnToka shemeji akupige biti umekuwa mkali mpaka kwangu
HahahaYajayo na yaje kwa mapenzi yake mungu tu
tehNaona umeichoka amani
Mie simo
tena mnafiki haswaAlokwambia ni mnafiki
[emoji14][emoji14][emoji14]Hahaha
haahhahah
KhaaaaShemeji usipomkanya mdogo wako ushemeji utakwisha...
et last seen toka ijumaa mamaa wa emojiInawezekana, maana Husna hawezi potea bila hata kuaga jamani
Kumbe unamchungulia eeh cha umbeaet last seen toka ijumaa mamaa wa emoji