Nilisikia kwamba eti...

Nilisikia kwamba eti...

Umenikumbusha enzi hizo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukitaka upate usingizi unachukua biblia na kuanza kusoma. Dakika mbili nyingi ushaanza kusinzia.
Sijui tulikua na pepo gani!!! [emoji3][emoji3]
hahahahahahahaha
 
Nasikia kwamba eti Daudi Bashite analazimisha wafanyabiashara Dar wamhonge magari makali....
 
Back
Top Bottom