Nilisikia Malalamiko mengi ya Chadema Juu ya wagombea wa CCM je mliyapeleka kisheria Ila Mwenyekiti hakuiitisha Kamati au NI ya kwenye mtandao.

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Malalamiko NI mengi Sana ya Chadema Juu ya wagombea wa CCM NI pamoja na.
1 Kutumia magali ya serikali.
2.Kumtumia Mawaziri mkuu.
3.Ahadi za Raisi na kupigia cm mawaziri.
4.Mgombea wa CCM kutofata ratiba ya tume.
5. Tuhuma dhidi yenu ya kuuza nchi mkichaguliwa.
6. Kauli zilizowahi kutolewa kwa mujibu wenu na Mh kuwa nikikuteua hupaswi kumtangaza mpinzani kashinda.

1.Je yote hayo huwa mnayashugulikia kisheria mpaka mnapokwamia au tu mnalalamikia kwenye media.
2. Na Kama mnayafikisha kisheria Kamati ya maadili ilikaa na kuamua Nini!?
3. Kama Mwenyekiti wa Kamati akipata Malalamiko na hakuiitisha Kamati mlichukua hatua gani.

Kwa kawaida kwenye vikao vya izo Kamati Kama NI wajumbe wanalipwa posho za vikao na Mwenyekiti NI VIGUMU mno kulingana nae. Ila oneshesheni jitihada kabla ya kulalamikia mitandaoni
 
Yote hayo yanafanywa kwa vile hayapitii mitandaoni watumwa wa CCM aka Tume nao hukaa kimya kama hakuna jambo.
 
Kama ulimsikiliza Lissu Jana alisema malalamiko yalipelekwa rasmi kwa Tume,yeye Jana alidokeza tu kama kuwajulisha,lakini hata tume kuyazungumzia haiyazungumzii.

Lakini malalamiko dhindi ya Lissu yalipopelekwa tu,dakika sifuri tu NEC wakajitokeza hadharani
 
Malalamiko NI mengi Sana ya Chadema Juu ya wagombea wa CCM NI pamoja na.
1 Kutumia magali ya serikali.
2.Kumtumia Mawaziri mkuu.
3.Ahadi za Raisi na kupigia cm mawaziri.
4.Mgombea wa CCM kutofata ratiba ya tume.
5. Tuhuma dhidi yenu ya kuuza nchi mkichaguliwa.
6. Kauli zilizowahi kutolewa kwa mujibu wenu na Mh kuwa nikikuteua hupaswi kumtangaza mpinzani kashinda.

1.Je yote hayo huwa mnayashugulikia kisheria mpaka mnapokwamia au tu mnalalamikia kwenye media.
2. Na Kama mnayafikisha kisheria Kamati ya maadili ilikaa na kuamua Nini!?
3. Kama Mwenyekiti wa Kamati akipata Malalamiko na hakuiitisha Kamati mlichukua hatua gani.

Kwa kawaida kwenye vikao vya izo Kamati Kama NI wajumbe wanalipwa posho za vikao na Mwenyekiti NI VIGUMU mno kulingana nae. Ila oneshesheni jitihada kabla ya kulalamikia mitandaoni
KM Chadema ameandika malalamiko mengi sn kuhusu CCM lakini hatujawahi kusikia wakiitwa na kufungiwa
 
Umeandika nondo kweli hawa jamaa huenda wanaishia kuongea mitandaoni na hakuna taarifa rasmi katika taasisi husika.... ingawa upande wa pili hizi taasisi husika huwa zinajiongeza tu sijui mpaka sasa hivi ushanielewa?
 
CDM na Lissu ni watu makini sana kuhusiana na taratibu, kanuni na sheria

Ukihitaji u rasmi katika malalamiko yaliyokwisha wasilishwa tume, fika ufipa au omba ushirikiano wa tume kujiridhisha kuwa hawajapokea malalamiko rasmi tokea CDM.

Tume inaseme haihusiki na hukumu kwa Lissu Ila kamati ya maadili ya tume.

Maajabu ya Mussa!

Hawa ni wa kutolea uvivu tu.

Sasa basi!
 
Hawa jamaa wanatuona Watanzania wapumbavu waweke mzani sawa ili wajue level ya upumbavu wetu
 
Yote hayo yanafanywa kwa vile hayapitii mitandaoni watumwa wa CCM aka Tume nao hukaa kimya kama hakuna jambo.
wakijitoa ufahamu wakawaita wa chama tawala siku hiyo watapapaswa huko nyuma na kufungashiwa virago
 
NEC ni CCM na CCM ni NEC!
JamiiForums2000245234.jpg
 
Back
Top Bottom