Nilistuka kumuona nyoka yuko ndani kwangu, pembeni ya mlango wa kutokea nje!

Ahsante sana mkuu Pakawa
 
Kuna majani Fulani kama ukoka yalivyo

Panda kuzunguka nyumba yako...hayo huwa katakata nyoka

Pia kama unahisi nyoka yupo ndani kwako choma mpira ile harufu ina waboa nyoka husepa haraka
 
Kuna majani Fulani kama ukoka yalivyo

Panda kuzunguka nyumba yako...hayo huwa katakata nyoka

Pia kama unahisi nyoka yupo ndani kwako choma mpira ile harufu ina waboa nyoka husepa haraka
Ahsante sana Kyalow kwa ushauri wako mzuri mkuu
 
Ni kawaida nyoka kuingia ndani haswa kipindi cha mvua sababu wao pia wanahitaji joto,Nilipokuwa advance Mara Sec mambo ya nyoka kuingia bwenini kilikuwa kitu cha kawaida sana na kibaya zaidi walikuwa wanajificha ndani ya viatu vya watu kwa ajili ya lile joto joto.

Njia rahisi ya kuepuka wasiingie ndani ni kuhakikisha upenyo mdogo chini ya mlango kama upo uwe unaziba na matambala haswa wakati wa usiku.
 
Nyoka mweusi hutembea wawili wawili dume na jike,hivyo lazima mmoja atakuja tu kumtafuta mwenzi wake,tegemea kuua mwingine soon
 
Ahsante kwa ushauri wako kizo83
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…