Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma passport yake kwanza .Unaweza kuelewa usmart wake kidogo?
Ndiyo, Kibu ni kizazi cha U.T.INdio kazaliwa 2000 Mmmh
Ubaya UBWELILI...!!! Mlimshangilia sana Fei toto. Pambaneni na hali yenu..!!Kafanya mambo ya kizamani sana. Hiyo pesa atairudisha na sina uhakika kama atacheza mpira labda kama kapiga dili na watu wa ndani ya Simba na huko TFF.
Meneja mwenyewe ni shabiki na mwanachama wa simba!Umemsikilza Meneja wake lakini? Kibu haidai chochote Simba, amekamilishiwa mkataba kwa 100%