M Matongee JF-Expert Member Joined Jun 17, 2023 Posts 1,056 Reaction score 2,729 Jul 24, 2024 #21 Hii mitoto ya 2000 misumbufu mno.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Jul 24, 2024 #22 OKW BOBAN SUNZU said: Unaweza kuelewa usmart wake kidogo? Click to expand... Soma passport yake kwanza .
OKW BOBAN SUNZU said: Unaweza kuelewa usmart wake kidogo? Click to expand... Soma passport yake kwanza .
Kanali_ JF-Expert Member Joined Nov 18, 2018 Posts 6,438 Reaction score 10,180 Jul 24, 2024 #23 Mycojkhan said: Ndio kazaliwa 2000 Mmmh Click to expand... Ndiyo, Kibu ni kizazi cha U.T.I
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Jul 24, 2024 #24 SAYVILLE said: Kafanya mambo ya kizamani sana. Hiyo pesa atairudisha na sina uhakika kama atacheza mpira labda kama kapiga dili na watu wa ndani ya Simba na huko TFF. Click to expand... Ubaya UBWELILI...!!! Mlimshangilia sana Fei toto. Pambaneni na hali yenu..!!
SAYVILLE said: Kafanya mambo ya kizamani sana. Hiyo pesa atairudisha na sina uhakika kama atacheza mpira labda kama kapiga dili na watu wa ndani ya Simba na huko TFF. Click to expand... Ubaya UBWELILI...!!! Mlimshangilia sana Fei toto. Pambaneni na hali yenu..!!
Kanali_ JF-Expert Member Joined Nov 18, 2018 Posts 6,438 Reaction score 10,180 Jul 24, 2024 #25 chilonge said: Umemsikilza Meneja wake lakini? Kibu haidai chochote Simba, amekamilishiwa mkataba kwa 100% Click to expand... Meneja mwenyewe ni shabiki na mwanachama wa simba!
chilonge said: Umemsikilza Meneja wake lakini? Kibu haidai chochote Simba, amekamilishiwa mkataba kwa 100% Click to expand... Meneja mwenyewe ni shabiki na mwanachama wa simba!
kilwakivinje JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 6,184 Reaction score 9,407 Jul 24, 2024 #26 Atakuwa kasajiliwa kwa mdomo pesa hazijawekwa
Roca fella JF-Expert Member Joined May 13, 2023 Posts 2,077 Reaction score 4,152 Jul 24, 2024 #27 Dennis prosper kibu atalogwa na waganga wa kisasa wa Simba atakuwa kama fiston mayele ππππ
Dennis prosper kibu atalogwa na waganga wa kisasa wa Simba atakuwa kama fiston mayele ππππ