Nilitahadharisha kuwa Simba ni mbovu ila mnazidisha chumvi

Waliosema Nani Hana mbinu kweny game za kimataifa ni mashabiki wa simba sio?
Kila neno wanaongea wao. Wakishinda Wana kikosi chenye watu sijui Ntibazonkiza mara chama.. Wakifubgwa ooh wachezaji hakuna sijui kanuti, Sawa dogo Mara Kwa Nn wamemuuza bwaliya. Hawa jamaa sio
 
Kipindi kama cha wiki mbili zilizopita, nilileta uzi juu ya tuwatahadharisha wachambuzi uchwara kuwa ni kweli Simba yaweza kuwa mbovu ukilinganisha na Simba ya miaka 2 iliyo pita, ila ubovu wake mmeuzidishia chumvi kupita kiasi...
mkuu ww sasa ndio mchambuzi. Mimi sio mchambuz ila kuna vitu uwa naviona na nikilinganisha na wachambuzi wetu wanavyojaribu kuuchambua uwezo wa Simba uwa nashangaa sana.

Kama nilivyosema mimi sio mchambuzi lkn unawezaje kusema simba mbovu kiasi hicho wkt mechi zote za CAF ndani na nje ball possession kaongoza?

Unawezaje kua na timu mbovu ukaongoza ball possession tena kwa raja 61% Simba ina create nafasi nyingi lkn inashindwa kuzifanya kua magoli kwangu mimi hapo ndo tatizo la msingi. Kweli simba haiko vzr kama huko nyuma lkn sio kwa kiwango inavyochambuliwa.
 
Kila neno wanaongea wao. Wakishinda Wana kikosi chenye watu sijui Ntibazonkiza mara chama.. Wakifubgwa ooh wachezaji hakuna sijui kanuti, Sawa dogo Mara Kwa Nn wamemuuza bwaliya. Hawa jamaa sio
Hovyo kabisaa....nmewapuuza
 
na wewe mkuu unaenda na upepo ulivoona kashinda ndio unakuja kuwasuta wachambuzi wenzio, ungewakanusha jana asbh ingekuwa na maana
Mkuu sikatai kuwa simba ni mbovu ila sio mbovu kiasi ambacho wachambuzi wetu wanavyo iongelea.

Na nilisha leta uzi huko nyuma hata kabla ya mechi ya Vaipas.
 
Kwa sabab Jana imeshinda au una sabb nyingine
Ww mbona una kichwa kigumu kama jiwe nimesha kwambia kuwa simba ni mbovu ila si kwa ubovu unao ongelewa na wachambuzi wenu uchwara.

Ninacho taka kumaanisha ni kuwa pamoja na mapungufu ya simba ila usithibutu kuichukulia poa la sivyo yata kukuta ya kukuta.
 
Tuna wachambuzi wa ajabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…