mkuu ww sasa ndio mchambuzi. Mimi sio mchambuz ila kuna vitu uwa naviona na nikilinganisha na wachambuzi wetu wanavyojaribu kuuchambua uwezo wa Simba uwa nashangaa sana.
Kama nilivyosema mimi sio mchambuzi lkn unawezaje kusema simba mbovu kiasi hicho wkt mechi zote za CAF ndani na nje ball possession kaongoza?
Unawezaje kua na timu mbovu ukaongoza ball possession tena kwa raja 61% Simba ina create nafasi nyingi lkn inashindwa kuzifanya kua magoli kwangu mimi hapo ndo tatizo la msingi. Kweli simba haiko vzr kama huko nyuma lkn sio kwa kiwango inavyochambuliwa.