Nilitaka kumpiga makofi Afisa wa uhamiaji

Hata mimi nilipata within 3 weeks, ila nilitakiwa kupata within 14 days, kuna kitu kilitokea ambacho kiliongeza hizo wiki “unnecessary” kuvimbiana fulani hivi. Ila kwakuwa nilikua eligible ilibidi waitoe tu hawana namna.

Hicho kilichotokea ndio kilichonifanya nilalamike hapa, kuwa ni sisi wamatumbi tu ndio tunasukwa sukwa huko kurasini?
 
M
MImi nlianza process j3 mpka j4 nna gamba langu mkononi kugawana riziki muhimu ili mambo yko yaende
 
mwendo ni ule ule hamna mwenye afadhali tena kama documents zina utata kidogo utakoma ,hao wengine ndo wanaonekana kama mgodi. wenye afadhali ni wenye connection tuu na pesa iwepo.
 
Ilikua tunduma upande wa zambia kugonga passport yule mwanadada akawa ana niletea goz goz akijua mm ni msafiri kwahiyo kwakua nina haraka lazima nita toa chochote kitu weee kilicho mkuta ni hostoria 😂🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔥 nilizama na kile kidirisha
 
37141904575
 
Yupo ofisi ipi huyo ofisa nikammalize stress zangu..?
 
Kazi Zenye Makando~Makando Hizo, Huku Watu Wanawaza Kiwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…