Pre GE2025 Nilitaka kushangaa Nchimbi athubutu kukaa meza moja na Mnyika! Ataongea nini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
2,754
Reaction score
4,975

Attachments

  • 20240831_215019.jpg
    1.7 MB · Views: 1
Hatimaye kwa masikitiko makubwa, Mdahalo wa makatibu wakuu wa vyama vya siasa nchini umeahirishwa kutokana na wahusika kuingia mitini!. Mbona kwa nchi za wenzetu haya mambo yanawezekana na yanafanyika vizuri kabisa? Kwanini sio huku kwetu? Je, ni uoga? Chuki? Kutokujiamini? Kukosa sera?
View attachment 3083806
 
Kwa nini wanaogopa debates??
 
Hatimaye kwa masikitiko makubwa, Mdahalo wa makatibu wakuu wa vyama vya siasa nchini umeahirishwa kutokana na wahusika kuingia mitini....
Bora lawama kulio fedheha kutoka kwa vijana.Unaweza ukawa mzima tu halafu upatie stroke kwenye mdahalo. Kwani mbio huna?🀣🀣🀣🀣
 
Si nimeona taarifa ya Chama Cha Mapinduzi kwamba NEC imekaa leo? Sijui Katibu Mkuu wa CCM angewezaje kuhudhuria mdahalo? πŸ™πŸ™πŸ™
 
Kuna jamaa niliwaambia miaka miwili iliyopita kuwa Emmanuel Nchimbi yupo overrated sana ni mweupe na mwepesi sana katika Tanzania ya kisasa.
 
Si nimeona taarifa ya Chama Cha Mapinduzi kwamba NEC imekaa leo? Sijui Katibu Mkuu wa CCM angewezaje kuhudhuria mdahalo? πŸ™πŸ™πŸ™
NEC ndiyo takataka gani mbele ya hoja za wananchi?
 
Peleka ujinga huko!

Chawa lumumba buku 7.
 
Huwa unajiaibisha sana.Mtu mgeni ataona aidha hupatiwi matibabu yako vema na kwa wakati au umetelekezwa na unajibu tu kwa kutumia mabega kwa sababu kichwa hauna.
 
NEC ndiyo takataka gani mbele ya hoja za wananchi?
Hata hii lugha yako si ya mjadala wa kistaarabu! Hivi Sekretarieti ya Chama inaongozwa na Katibu Mkuu tulitegemea aache? Hizo ajenda za wananchi ni muhimu lakini kuna vikao vya Chama kuzijadili pia. Hivi siku ACT, Chauma, CUF au Chadema wana vikao vikubwa wenye kuvisimamia wanaweza viacha? πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…