Pre GE2025 Nilitaka kushangaa Nchimbi athubutu kukaa meza moja na Mnyika! Ataongea nini?

Pre GE2025 Nilitaka kushangaa Nchimbi athubutu kukaa meza moja na Mnyika! Ataongea nini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Vikao vya CCM ni muhimu sana.maaja vinatoa Dira na muelekeo wa masuala mbalimbali
Hizo dira mnazijua nyie wanachama sio sisi watanzania! Acheni mara moja ulevi wa madaraka, Je kwanini msingesogeza mbele vikao vyenu kujibu kwanza hoja za wananchi?
 
Hata hii lugha yako si ya mjadala wa kistaarabu! Hivi Sekretarieti ya Chama inaongozwa na Katibu Mkuu tulitegemea aache? Hizo ajenda za wananchi ni muhimu lakini kuna vikao vya Chama kuzijadili pia. Hivi siku ACT, Chauma, CUF au Chadema wana vikao vikubwa wenye kuvisimamia wanaweza viacha? 🙏🙏🙏
Lugha hubadilika kutokana na maudhi na kuonyesha msisitizo wa kuchukizwa! What is sekretariet ya chama? Ajenda za chama ni muhinu kuliko ajenda za watanzania? Kwamba hivyo vikao visingeweza kusubiri? Huo ni Ulevi wa madaraka, dharau na kiburi cha wazi mbele ya watanzania.
 
Vikao vya CCM kuliko huo mkusanyiko wenu.kwanza lazima ufahamu kiwa hadhi na heshima aliyonayo Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ni kubwa sana na wala huwezi kumlinganisha na watu kama Mnyika. Sasa mnyika ndio wa kufanya mdahalo na Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi? Ado shaibu ndio akae na Katibu mkuu wetu? Embu acheni utani wenu. Acheni kumshushia heshima katibu Mkuu wetu. Komaeni kwanza akili zenu
Hizi dharau, kiburi na jeuri vina mwisho!
 
Hatimaye kwa masikitiko makubwa, Mdahalo wa makatibu wakuu wa vyama vya siasa nchini umeahirishwa kutokana na wahusika kuingia mitini!

Mbona kwa nchi za wenzetu haya mambo yanawezekana na yanafanyika vizuri kabisa? Kwanini sio huku kwetu? Je, ni uoga? Chuki? Kutokujiamini? Kukosa sera?

View attachment 3083806
Aaaah weee!!! Sio kirahisi ivoo ata kama awezi kujibu hoja lakini uwezi waingiza mkenge kirahisi hivii
Ukiwa kwenye mfumo unajiepusha na aibu nyepesi nyepesi
 
Vikao vya CCM kuliko huo mkusanyiko wenu.kwanza lazima ufahamu kiwa hadhi na heshima aliyonayo Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ni kubwa sana na wala huwezi kumlinganisha na watu kama Mnyika. Sasa mnyika ndio wa kufanya mdahalo na Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi? Ado shaibu ndio akae na Katibu mkuu wetu? Embu acheni utani wenu. Acheni kumshushia heshima katibu Mkuu wetu. Komaeni kwanza akili zenu
Shahawa nyingine heri zingemwagwa nje tu
 
Nchi za Afrika zina matatizo makubwa sana ya kiuongozi,kiuchumi,kiutawala hadi kijamii-ukiwa mnapambana kwa hoja aliye upande wa Serikali ambayo inasimamia hayo lazima atazidiwa tu kwa kuwa Mambo ya hovyo ni mengi kuliko mazuri.
It is simple mathematics.
 
Vikao vya CCM kuliko huo mkusanyiko wenu.kwanza lazima ufahamu kiwa hadhi na heshima aliyonayo Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ni kubwa sana na wala huwezi kumlinganisha na watu kama Mnyika.

Sasa mnyika ndio wa kufanya mdahalo na Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi? Ado shaibu ndio akae na Katibu mkuu wetu? Embu acheni utani wenu. Acheni kumshushia heshima katibu Mkuu wetu. Komaeni kwanza akili zenu
Kuna jamaa nilimwambia balozi dokta akihudhuria ningeharisha kuanzia ubungo hadi maili moja kibaha, yaani katibu Mkuu wa chadema ndani ya nyumba halafu wa CCM ajipeleke? Nakuhakikishia Mchimbi angehudhuria ule mdahalo sasa hivi Prof. Janabi angekuwa zamu huko ICU
 
Back
Top Bottom