Pre GE2025 Nilitaka kushangaa Nchimbi athubutu kukaa meza moja na Mnyika! Ataongea nini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Vikao vya CCM ni muhimu sana.maaja vinatoa Dira na muelekeo wa masuala mbalimbali
Hizo dira mnazijua nyie wanachama sio sisi watanzania! Acheni mara moja ulevi wa madaraka, Je kwanini msingesogeza mbele vikao vyenu kujibu kwanza hoja za wananchi?
 
Lugha hubadilika kutokana na maudhi na kuonyesha msisitizo wa kuchukizwa! What is sekretariet ya chama? Ajenda za chama ni muhinu kuliko ajenda za watanzania? Kwamba hivyo vikao visingeweza kusubiri? Huo ni Ulevi wa madaraka, dharau na kiburi cha wazi mbele ya watanzania.
 
Hizi dharau, kiburi na jeuri vina mwisho!
 
Aaaah weee!!! Sio kirahisi ivoo ata kama awezi kujibu hoja lakini uwezi waingiza mkenge kirahisi hivii
Ukiwa kwenye mfumo unajiepusha na aibu nyepesi nyepesi
 
Shahawa nyingine heri zingemwagwa nje tu
 
Nchi za Afrika zina matatizo makubwa sana ya kiuongozi,kiuchumi,kiutawala hadi kijamii-ukiwa mnapambana kwa hoja aliye upande wa Serikali ambayo inasimamia hayo lazima atazidiwa tu kwa kuwa Mambo ya hovyo ni mengi kuliko mazuri.
It is simple mathematics.
 
Kuna jamaa nilimwambia balozi dokta akihudhuria ningeharisha kuanzia ubungo hadi maili moja kibaha, yaani katibu Mkuu wa chadema ndani ya nyumba halafu wa CCM ajipeleke? Nakuhakikishia Mchimbi angehudhuria ule mdahalo sasa hivi Prof. Janabi angekuwa zamu huko ICU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…