Nilitaka Kuwashangilia Namungo FC leo ila nilivyosikia tu Kocha wao Msaidizi ni Nsajigwa nimeghairi

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Hili Buku langu la Kiingilio Kibanda Umiza ni bora tu nikanunue Maziwa ya Mtindi ya ASAS au TANGA FRESH ninywe niboreshe Afya yangu kwa Nsajigwa kuwa Namungo FC tunaoujua vyema Mpira wa Bongo hasa unavyochezwa Nje kwa 75% tayari Mechi imeshaisha na Gap la Alama Sita linaendelea.
 
Inakuaje Bus la namungo lina plate no. Za serikali
E9zV1v9WYAIya-e.jpg
E9zV2NcXoAYk7em.jpg
E9zV1dTWQAUty9D.jpg
 
Hili Buku langu la Kiingilio Kibanda Umiza ni bora tu nikanunue Maziwa ya Mtindi ya ASAS au TANGA FRESH ninywe niboreshe Afya yangu kwa Nsajigwa kuwa Namungo FC tunaoujua vyema Mpira wa Bongo hasa unavyochezwa Nje kwa 75% tayari Mechi imeshaisha na Gap la Alama Sita linaendelea.
Kwa maana ya kwamba baada ya kumfunga singida mkaona tiyali ubingwa ni wenu? Iyo namungo ni tawi lenu kwaiyo usitegemee wataachwa bila kupewa stahiki yao halali pale kwa mkapa
 
Juma Mwambusi si alikuwa Ihefu na akaifunga Yanga hapo imekaaje wakati Yeye anaheshimika Yanga na amewahi kuwa kocha tena mwenye mapenzi makubwa na timu yake ?
Ukiweza kunyamaza utaonekana Una akili kuliko wanaotafuta likes.
 
Hili Buku langu la Kiingilio Kibanda Umiza ni bora tu nikanunue Maziwa ya Mtindi ya ASAS au TANGA FRESH ninywe niboreshe Afya yangu kwa Nsajigwa kuwa Namungo FC tunaoujua vyema Mpira wa Bongo hasa unavyochezwa Nje kwa 75% tayari Mechi imeshaisha na Gap la Alama Sita linaendelea.
Wewe Gendamysini punguza majungu bhana. Jana timu yako imeifunga SBS pasipo kununua mechi! Ila Yanga pekee ndiyo inayonunua.
 
Denis kitambo ndo kocha mkuu na yeye ni kolo mtiifu
 
Back
Top Bottom