Nilitaka nimlaumu Feitoto kuhamia Azam FC ila kwa hiki alichowaambia matajiri wa Yanga SC yuko sahihi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Naipambania sana timu yenu kuliko hawa wachezaji wa kigeni mizigo mizigo, ila kila nikiwaambia mniongezee mshahara mnasema hata kupewa huu unahodha wa timu ni heshima kwangu, kwa Wazanzibari na kwamba nisijali mtanifikiria. Mnatudharau mno Wachezaji Wazawa naondoka kwenda kwa wanaojua kujali Asanteni"

Nenda tu Azam Feitoto hauna baya.
 
Haya maneno umetunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…